Dark days 17/03/20...

Duh Kwan alikuwa raia WA nchi gani?
 
kwenye hii story wew ndo uko tofauti ondoa mihemko

mbona hao lupaso sijui yerico hawamo kwenye story

hebu anzisha uzi wako na wewe tuufatilie maana wikiendi ndefu
 
Hawezi kuanzisha thread huyo hata nusu page, kajaa ujing* na chuki dhidi ya wazalendo! Haya ndio MAJIZZZ yenyewe.
Wazalendo kina nani? Hawa washamba majizi ya sukuma gang?

Hii tamthilia yenu ya kusadikika hamjasoma jinsi Dotto James mpwa wa shetani wa Chato alivyofanikisha wizi hazina? Au mnasoma juu juu tu?
 
Nilikuwa Gerezani kwa zaidi ya miezi 3 nikiwa nakabiriwa na kesi ya Uhujumu uchumi katika Gereza la Geita. Tulikuwa na utaratibu wa kuamuka saa 11asubuhi tusali Sala ya asubuhi Kisha kusikiliza BBC Swahili news. Taarifa zilikuwa zimeshafika kwa kupitia maasikari wa zamu wa usiku. Mnyampala aliwasha radio na kupiga makofi akisema "Enyi sikilizeni Rais wenu kafa". Mnyampala huyu alikuwa anamiaka 3 Gerezani Kama mahabusu kwa kesi ya Uhujumu uchumi uliofanyika katika Harimashauri ya Nyangw'ale mkoani Geita. It's really 17/3/2021 is a Dark Day". Gereza lililipuka na sauti mchanganyiko za shangwe na huzuni. Miezi 6 baadae niliachiwa kutoka Gerezani baada ya DPP kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi yangu kwa maana haikuwana tija kwa taifa.
 
Pole sana mpwa
 
umenifurahisha sana hasa pale ulupomuombea Yule aliyemtanguliza Mwendazake alambe udongo, kweli huyu old CEO Mungu amuongeezee mengi, kwani hakuna kiumbe angetuondolea hili dubwana lililotaka eti litawale maisha yake yote na ukoo wake
Bora katangulia motoni
 
Aisee pole sana mkuu
 
Nasubiria ijumaa kuu ipite nikualike upige hata nyama kwa bill yangu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Huyo kama ni kufa atakufaa mzee saanaaa tena akiwa anatabasamu halafu peponi straight coz aliifanya kazi ya Mungu kwa uaminifu.
Kuliko kupoteza kondoo 100 sababu ya mmoja bora ufukie huyo mmoja 99 wapone.
Hakuna mwaka uliowahi kuwa mchungu kama 2018. Sababu ya yule kichaa, mengi yaliharibika I lost two good friends walioona there's no future ahead wakajitanguliza wenyewe.
Wanoko walipoanza kumwimbia atake asitake nikahisi kiama kinakuja, nikaenda hadi kwa kina Papaaa kuona kama wanaweza kunisajili. Kabla ya kukamilisha taratibu jitu chali!
 

Huyu ana hasira ya kuondokewa kimiujiza na yule Baba yake mwanakwaya maarufu wa zamani wa kampuni tawala huko kusini, sijui walimwita Kaputena Ndege John.

Maana umauti ulimkuta ndani ya hizi sarakasi za CEOs hasa marehemu Zege vs Zezeta la Kaskazini.
 
Wazalendo kina nani? Hawa washamba majizi ya sukuma gang?

Hii tamthilia yenu ya kusadikika hamjasoma jinsi Dotto James mpwa wa shetani wa Chato alivyofanikisha wizi hazina? Au mnasoma juu juu tu?
Member humu Intelligence wanaomba usiweke majina, tumiaCode , huyo unaemtaja keshazungumziwa na mleta Mada yoga Kuna sehemu km bado ipo alishurutishwa akachomoe kwenye mfuko bulungutu wagawiwe wahusika wampige chini New CEO kwani hakuwa na sifa, ilitumwa mbayuwayu kumchukua akilindwa na huku akipewa briefcase yenye code asifungue mpaka atakapoidhinishwa.
Pili hao kina Yerico hawafui dafu kwenye hii story kwani si corona iliyoweza wapiga watu 5 wa Kampuni kifo cha aina moja.
Kosa la late CEO ni kulamba page za mkataba km ni corona au bettery isingemkimbiza kukata Moto wiki moja kabla ya announcement washenzi hawakuamini km mfu ❤️ beat ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…