Dark days 17/03/20...

Kwangu ni shujaa sijui kwako ni muuaji au vipi.

Ndo maana hatujuani kwa huyo hatufanani kimtazamo.


Nakusalimia Sana Ndugu hujambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijambo, umesema vyema sana hasa baada ya kutumia umoja tofauti na wale wanaotumia wingi kwa kusema Shujaa wetu badala ya kusema Shujaa wangu. Wanadhani kila mtu ni mnyonge kama walivyo wao. Hongera sana mkuu
 
mkuu naona umegeuza kigenge cha kahawa

haya majungu sio sehemu yake hapa tunamsoma yoga tu hao watu wenu hatuwajui kwenye hii story ya yoga so pita [emoji117]
Mimi namwambia huyo aliyeanza kuleta habari za unyonge wake na ishu za shujaa wenu. So na wewe pita [emoji118]
 
Sasa hivi born town na wezi/wauaji wenzake akili zinaanza kuwacheza yaani mambo yanaanza kuhatibuka kimoja baadabya lingine, ukifatikia namna late CEO anavyoshambuliwa utaona namna Gani watu wanavyojihami.

Nilishaapa Mimi wale wote waliohusika Kwa namna moja au nyingine kumzimisha shujaa watakufa kifo kibaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shujaa fake
 
Umenisikitisha kwenye kauri ya Kuwa Marais wamezidikwa Sana. Kuzindikwa kunazuia physical attack za kiabiologia??.
 
Umenisikitisha kwenye kauri ya Kuwa Marais wamezidikwa Sana. Kuzindikwa kunazuia physical attack za kiabiologia??.
Yes mkuu na Hilo nimezungumzia sana huko nyuma kwenye thread ya "Dark arts". Spiritual forces play a focal point in protecting your physical being.

Ukipata muda utaipitia maybe michango ya wadau itakufungua macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…