Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kwangu ni shujaa sijui kwako ni muuaji au vipi.

Ndo maana hatujuani kwa huyo hatufanani kimtazamo.

Nakusalimia Sana Ndugu hujambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijambo, umesema vyema sana hasa baada ya kutumia umoja tofauti na wale wanaotumia wingi kwa kusema Shujaa wetu badala ya kusema Shujaa wangu. Wanadhani kila mtu ni mnyonge kama walivyo wao. Hongera sana mkuu
 
Sasa hivi born town na wezi/wauaji wenzake akili zinaanza kuwacheza yaani mambo yanaanza kuhatibuka kimoja baadabya lingine, ukifatikia namna late CEO anavyoshambuliwa utaona namna Gani watu wanavyojihami.

Nilishaapa Mimi wale wote waliohusika Kwa namna moja au nyingine kumzimisha shujaa watakufa kifo kibaya sana.

Shujaa fake
 
Wapi nimetaja corona?? Nimekwambia defribillator ilikua Ina hitilafu tokea 2017!!

Yaani Mkapa afe kwa polonium? Kwamba matambiko hayawezi kumshtua?? Hawa Marais wamezindikwa sana hamjui tu huwezi kumdhuru kipuuzi hivyo.

JPM alikufa kwa hitilafu ya defribillator na nemshakupa mifano ya watu kma Daley Blind mchezaji wa Ajax. Kwanini mnaleta ujuaji wakati facts ziko wazi?
Umenisikitisha kwenye kauri ya Kuwa Marais wamezidikwa Sana. Kuzindikwa kunazuia physical attack za kiabiologia??.
 
Umenisikitisha kwenye kauri ya Kuwa Marais wamezidikwa Sana. Kuzindikwa kunazuia physical attack za kiabiologia??.
Yes mkuu na Hilo nimezungumzia sana huko nyuma kwenye thread ya "Dark arts". Spiritual forces play a focal point in protecting your physical being.

Ukipata muda utaipitia maybe michango ya wadau itakufungua macho.
 
Back
Top Bottom