Dark days 17/03/20...

Hajazamishwa mtu...hii hadithi tu.
 
huyo hawezi kukujibu ndio walewale waosha vyombo nyumbani kwa Dr mwendazake, kahojiwa tu PhD kamuua kijana wa watu, bado kamvunja Mr culture mguu kabla ya Uchaguzi, Kuna watu Wana roho mbaya bora kuwatanguliza ingawa tutafuata lkn kidogo tunapumua
Acha urongo Mr Culture alivunjwa mguu na Konyagi na hata msaidizi wake alikopotelea yeye ndie anajua,au hujui kuwa Mr Culture nae ni mafia.
 
Na anapoenda kwao Mwandiga anapanda ndege hizo hizo anazomlaumu mwendazake kwa kuzinunua,ugomvi wa Zitto ni kuwa alitarajia angepewa wizara ya nishati pale alipobaki mjengoni peke yake wakati wenzake wote walisusa na akasifiwa sana na mwendazake lakini kila akisubiri uwaziri ndio siku zikawa zinaenda ,huyu Zitto si ndie alisema atataja watu walioficha fedha Uswisi? na alimini kama ubunge ni wake maisha yake yote, Zitto ,Culture,Mbeligiji wote ni wanasiasa wachumia tumbo na walio mfukoni mwa Born town
 

Attachments

Mobutu alikuwa afadhali kuliko magufuri.

Magufuri lilikuwa shetani katika umbo la binadamu.

Limekufa kifo kibaya mzoga wake ukazungushwa uku unanuka maana alikufa na mavi tumboni.
Mimi na wenzangu hatukuamini ilibidi tuukimbilie kwenda kwenye halaiki kuhakikisha ni kweli ameondoka au anaweza kurudi, maana walisema ana kabetri, mpaka wanamfukia mwaka Sasa tunapumua, hongera waliomtanguliza, tutafuata lkn sio kifo kile
 
Sababu kubwa ya Jiwe kutokupendwa na watu wengi pamoja na kusemwa vibaya ni uovu wake enzi za utawala wake
 
Sababu kubwa ya Jiwe kutokupendwa na watu wengi pamoja na kusemwa vibaya ni uovu wake enzi za utawala wake
Watu gani unaowazungumzia wewe.. Mafisadi na wauza unga ndio kundi la unalozungumzia.. Najua mmetumwa mje kuharibu huu uzi na kampeni yenu ya kuzika LEGACY ya JPM... Nakuhakikishia leo kwa Technology ndio inawaumbua na itazidi kuwaumbua.. Kazi alizofanya tumeziona na mabaya yake tunayajua lakini mazuri ni mengi mnoooo... Hivyo atakumbukwa na vizazi kwa vizazi Thanks to YouTube video zake zipo na mzalendo yoyote akiangalia lazima apate moto wa uzalendo moyoni.. Nawaonya viongozi wengine wanaodhani hizi ni zama za Porojo wataishia pabaya Technology itawaanika uchi kwasababu kipindi hiki hata mtu wa kijijini anajua kiongozi wake yupo wapi anafanya nn.. Hata useme nini JPM amshakaa mioyoni mwa watu mbali na mapungufu yake. FOREVER JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…