Dark days 17/03/20...

Mobutu alikuwa afadhali kuliko magufuri.

Magufuri lilikuwa shetani katika umbo la binadamu.

Limekufa kifo kibaya mzoga wake ukazungushwa uku unanuka maana alikufa na mavi tumboni.
Vyeti feki hasira zao utazijua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majipu utayajua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee wa legacy [emoji23]. Tuachane na wafu na tuangaike na waliohai. Wafu wameshamaliza kazi yao waliyotumwa kufanya iwe na Mungu ama shetani.
 
Sababu kubwa ya Jiwe kutokupendwa na watu wengi pamoja na kusemwa vibaya ni uovu wake enzi za utawala wake

Acha kutengeneza story dogo, kukoswa kwako ajira usimlaumu chuma, wenzanko wakati wanakamua wewe uko Insta Na Group adm sasa unakula matunda. By the way hii [emoji477]️ tu kutoka kwa yoga usipanick haina uhalisia mzee, just enjoy the tea
 
USA ameua wangapi in Arabs countries
 
Vyeti feki hasira zao utazijua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majipu utayajua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
late CEO hakua na Cheti fake PHD kailstia wapi mpaka anaua wenzake,
Chinga na wafanya biashara Kariakoo wanaingiza kutwa kuliko wanaotamba na vyeti
ss wengine hatutaki ajira na hatujaajiriwa tumejiajiri ndio maana hatusimamiwi kuingia na bundle, utumwa mpaka mwisho wa mwezi.
CEO Hangaya katumbua jipu ilikuwa vigumu kufanya kazi na mwenye faili Mirembe
mtasema kadanganya
Je na Chama kipya Cha Mwendazake hakipo?
 
Yes , I guess who your.
 
Jamani mnataja watu mie sijawataja [emoji16][emoji16][emoji16] please hii ni story tuuu wapendwa [emoji41][emoji16][emoji23][emoji28]
Watu wanajifanya wanaintelijensia sana humu. Yaan wanajikuta wadadavuaaaji[emoji16][emoji16].

Hii nchi bana[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…