Dark days 17/03/20...

The new ceo alikufa kifo cha maumivu
 
Siamini kama CEO Alikuwa mzembe kiasi hiko, labda kama walimpumbaza na uchawi au alikosa watu sahihi wa kufanya nao kazi
CEO alipandikiziwa mamluki hadi mgongoni pake bila yeye kugundua.

Alizungukwa na wanafiki hatari. Ni dhahiri vice CEO alihusika kumsaliti na kumwuza CEO kwa pontio pilato.

Siasa ni mchezo mchafu.

Swali langu ni kwamba the present CEO ana uhakika gani na usalama wake huku akijua the retired CEO is still there and he did such a thing?

How about the coming CEO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…