AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,378
Yoga wapi yoga?, ukuje pande hii bhana!, naona huu ukimya wa leo kuna kubwa linaandaliwa
Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye fasihi tunasema stori ndani ya storiHajaiandaa pekee yake kabla haijaletwa!!inaandaliwa na wenye malengo yao Wana edit hadi wanaporidhika ndio wanaileta!!hofu yangu ni kuwa hii story isije ikaenda na watu humu jukwaani HASA tunaokomenti humu!!tusitaje majina ya watu!!!lengo la story ni kumfanya new CEO asiaminike na memba wa the late CEO Ili wasiungane team MOJA na kumdhuru old CEO au Born town!!yaani wanataka wafitinike na kuwa team tatu tofauti halafu state itaamua ipi ni team ya kufurusha kwenye kampuni na kuiangamiza kabisa isichipue tena huko MBELENI!!halafu ile team ya late CEO ndio yenye uafadhali KWA mstakabali wa kampuni kama watapata member mmoja anae shaurika na mzalendo Ili kuendeleza kampuni!!kwani inawezekana wenye kampuni wameona kuwa new CEO na old CEO wataharibu kampuni huko MBELENI hivo wanataka uelekeo mpya KWA kumpata member Mwenye hulka ya late CEO anaeshaurika Ili kampuni isonge!!!!!wenye kampuni wanataka kuua nguvu ya hizo kambi tatu Ili walleye yule waliemkusudia aongeze kampuni KWA digiti 12 ambazo ni nyakati 12 zijazo hadi 2035!!! NADHANI heshimuni uzi acheni kubwabwaja majina ya watu!!!Haya ni mawazo yangu huru tu sijatumwa na yeyote!!!!siioni afya ya kudumu ya old CEO huko MBELENI na ya new CEO!!!walitumika ipasavyo na Muda wao wa kuwekwa dust bin umekaribia!!lazima wenye kampuni watafanya hivyo Ili tuwe na kampuni iliyozaliwa upya yenye ustaarabu mpya!!!!hakuna atakae pona the new and the old CEOs must go for the sake ya ustawi wa kampuni mpya na mwanzo mpya na sera mpya lazima kafara itolewe ya damu KWA ajili ya utakaso wa kampuni Baada ya maovu YOTE Ili waneemeke wajukuu na vilembwe wa kampuni hii!!!!!MAWAZO HURU HAYA!!!
Kwasababu wakiacha team moja Kati ya hizo tatu itasumbua Sana mteule mpya ajaye kwa kuwa na influence ya ndani ya kampuni na kufanya kampuni iwe ngumu kuiendesha!!!pia NADHANI new CEO anamtumia retired CEO wa kule visiwani kufanikisha akisaidiana na kaka yake ambaye ni active CEO kule visiwani Hadi Sasa Ili Kuvuka ukomo wa Muda aliowekewa kuiongoza kampuni ambayo imekua Tamu mdomoni!!hofu yangu ni kuwa project ya kumtoa new CEO isije ikala uhai Hadi wa retired CEO wa visiwani ambaye Sina uhakika Kama alishaachia kijiti cha uenyekiti wa nembo ya uwakilishi wa u UCEO!!!
Hii ingekuwa kule kwenye jukwaa la entertainment wala watu wasingeitafsiri wanavyo itafsiri hiv. Shida ipo kwenye jukwaa la intelligence humu ata ukiandia "maindi na maragwe vimepanda bei ila makande yameshuka bei " watu watalazmisha kungua code wajue unamaanisha niniKazi ya fasihi, ni kuburudisha, kuelimisha na kuikosoa jamii[emoji23][emoji23][emoji23] chagua kimoja wapo hapo[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
HII NI HADITHI TU.....Hajaiandaa pekee yake kabla haijaletwa!!inaandaliwa na wenye malengo yao Wana edit hadi wanaporidhika ndio wanaileta!!hofu yangu ni kuwa hii story isije ikaenda na watu humu jukwaani HASA tunaokomenti humu!!tusitaje majina ya watu!!!lengo la story ni kumfanya new CEO asiaminike na memba wa the late CEO Ili wasiungane team MOJA na kumdhuru old CEO au Born town!!yaani wanataka wafitinike na kuwa team tatu tofauti halafu state itaamua ipi ni team ya kufurusha kwenye kampuni na kuiangamiza kabisa isichipue tena huko MBELENI!!halafu ile team ya late CEO ndio yenye uafadhali KWA mstakabali wa kampuni kama watapata member mmoja anae shaurika na mzalendo Ili kuendeleza kampuni!!kwani inawezekana wenye kampuni wameona kuwa new CEO na old CEO wataharibu kampuni huko MBELENI hivo wanataka uelekeo mpya KWA kumpata member Mwenye hulka ya late CEO anaeshaurika Ili kampuni isonge!!!!!wenye kampuni wanataka kuua nguvu ya hizo kambi tatu Ili walleye yule waliemkusudia aongeze kampuni KWA digiti 12 ambazo ni nyakati 12 zijazo hadi 2035!!! NADHANI heshimuni uzi acheni kubwabwaja majina ya watu!!!Haya ni mawazo yangu huru tu sijatumwa na yeyote!!!!siioni afya ya kudumu ya old CEO huko MBELENI na ya new CEO!!!walitumika ipasavyo na Muda wao wa kuwekwa dust bin umekaribia!!lazima wenye kampuni watafanya hivyo Ili tuwe na kampuni iliyozaliwa upya yenye ustaarabu mpya!!!!hakuna atakae pona the new and the old CEOs must go for the sake ya ustawi wa kampuni mpya na mwanzo mpya na sera mpya lazima kafara itolewe ya damu KWA ajili ya utakaso wa kampuni Baada ya maovu YOTE Ili waneemeke wajukuu na vilembwe wa kampuni hii!!!!!MAWAZO HURU HAYA!!!
Kwasababu wakiacha team moja Kati ya hizo tatu itasumbua Sana mteule mpya ajaye kwa kuwa na influence ya ndani ya kampuni na kufanya kampuni iwe ngumu kuiendesha!!!pia NADHANI new CEO anamtumia retired CEO wa kule visiwani kufanikisha akisaidiana na kaka yake ambaye ni active CEO kule visiwani Hadi Sasa Ili Kuvuka ukomo wa Muda aliowekewa kuiongoza kampuni ambayo imekua Tamu mdomoni!!hofu yangu ni kuwa project ya kumtoa new CEO isije ikala uhai Hadi wa retired CEO wa visiwani ambaye Sina uhakika Kama alishaachia kijiti cha uenyekiti wa nembo ya uwakilishi wa u UCEO!!!
Usikute kashazibwa mdomo nchi kubwa hii nduguYoga wapi yoga?, ukuje pande hii bhana!, naona huu ukimya wa leo kuna kubwa linaandaliwa
Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
Inawezekana, au yupo kwenye uzinduzi.Usikute kashazibwa mdomo nchi kubwa hii ndugu
Sijambo uncle shikamooMtoto mzuri hujambo binti
Au ni first lady WA CEO? Maana inasemekana Walikuwa hawaishi vizuri. So huenda alitumika na chawa WA old CEO.Deep informer atakuwa the lady boss!!
Hajaiandaa pekee yake kabla haijaletwa!!inaandaliwa na wenye malengo yao Wana edit hadi wanaporidhika ndio wanaileta!!hofu yangu ni kuwa hii story isije ikaenda na watu humu jukwaani HASA tunaokomenti humu!!tusitaje majina ya watu!!!lengo la story ni kumfanya new CEO asiaminike na memba wa the late CEO Ili wasiungane team MOJA na kumdhuru old CEO au Born town!!yaani wanataka wafitinike na kuwa team tatu tofauti halafu state itaamua ipi ni team ya kufurusha kwenye kampuni na kuiangamiza kabisa isichipue tena huko MBELENI!!halafu ile team ya late CEO ndio yenye uafadhali KWA mstakabali wa kampuni kama watapata member mmoja anae shaurika na mzalendo Ili kuendeleza kampuni!!kwani inawezekana wenye kampuni wameona kuwa new CEO na old CEO wataharibu kampuni huko MBELENI hivo wanataka uelekeo mpya KWA kumpata member Mwenye hulka ya late CEO anaeshaurika Ili kampuni isonge!!!!!wenye kampuni wanataka kuua nguvu ya hizo kambi tatu Ili walleye yule waliemkusudia aongeze kampuni KWA digiti 12 ambazo ni nyakati 12 zijazo hadi 2035!!! NADHANI heshimuni uzi acheni kubwabwaja majina ya watu!!!Haya ni mawazo yangu huru tu sijatumwa na yeyote!!!!siioni afya ya kudumu ya old CEO huko MBELENI na ya new CEO!!!walitumika ipasavyo na Muda wao wa kuwekwa dust bin umekaribia!!lazima wenye kampuni watafanya hivyo Ili tuwe na kampuni iliyozaliwa upya yenye ustaarabu mpya!!!!hakuna atakae pona the new and the old CEOs must go for the sake ya ustawi wa kampuni mpya na mwanzo mpya na sera mpya lazima kafara itolewe ya damu KWA ajili ya utakaso wa kampuni Baada ya maovu YOTE Ili waneemeke wajukuu na vilembwe wa kampuni hii!!!!!MAWAZO HURU HAYA!!!
Kwasababu wakiacha team moja Kati ya hizo tatu itasumbua Sana mteule mpya ajaye kwa kuwa na influence ya ndani ya kampuni na kufanya kampuni iwe ngumu kuiendesha!!!pia NADHANI new CEO anamtumia retired CEO wa kule visiwani kufanikisha akisaidiana na kaka yake ambaye ni active CEO kule visiwani Hadi Sasa Ili Kuvuka ukomo wa Muda aliowekewa kuiongoza kampuni ambayo imekua Tamu mdomoni!!hofu yangu ni kuwa project ya kumtoa new CEO isije ikala uhai Hadi wa retired CEO wa visiwani ambaye Sina uhakika Kama alishaachia kijiti cha uenyekiti wa nembo ya uwakilishi wa u UCEO!!!
Inabidi ujiite mimitomasowenani
Nilijua ni yule memba aitwaye Tumia akiliKabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza halekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sucrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three monthes akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? Or............
Itaendelea..............
Guess the company!??
Wapi panaonyesha hana uhakikaNi kweli kwa sababu hata msimuliaji hana uhakika, ni conspiracy theories tu
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Aisee.. Huku mambo mengine yakiendelea kwenye company na wafanyakazi vibarua na waajiriwa hawakukujua kinachoendelea..Very sensational,inatia hamasa na huzuni kuendelea kusoma.
Hii ilikuwa bonge ya OP the planners were very systematic, cautious and smart,imagine getting lid of soft targets and finally ...........without raising anyone's eye blows.