Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

CEO wao wote ni huyo hapo, hao wengine wote watumikaji tu, timu nzima mpya ilienda kujitambulisha kwake, haijawahi kutokea kuanzia kuanzishwa kwa Republic yetu.

1BE6CA90-B571-474F-A878-E5773DABF219.jpg
 
Kwa umri wake hata akiwa hivyo si mbaya. Kazipiga za kutosha anataka nini tena.

Mzee wa miaka 70+ unataka aendelee na ngono baada ya kutunza afya akifaidi matunda yake?

Alinyooshwa wapi? Hakuwahi kuyumba wala kutetereka, aliyenyooshwa yupo analiwa na funza huko..​
Alinyooshwa tena na jeshi la mtu mmoja, akachukia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema mzee wako naskia hata kabla hajazeeka alikua na matatizo ya nguvu za kiume. Alikua anahonga sana ili wasimtangaze[emoji23][emoji23] wengine alihonga ukuu wa wilaya eti ni kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?!????

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Ina MAANA hata kimoja alikiwa hapigi!!!???alizaaje Sasa!!!??
 
Jamaa ni muumini mzuri wa kristo ndicho kilimuokoa kile😅 af jamaa walivyokuwa wahuni wakatembelea upepo wa Korona yani kila waliempiga na kitu kizito wakaipa lawama Covid kwa hio kundi la maboya waliamini New CEO kakabwa na Corona and the rest of the Company members
Corona ndo ilikuwa kama kichaka cha kujifichia
 
Mzee mchonga alitaka ahatarishe awamu ya pili ya Kipipa kisa Baada ya Kipipa kuuza benki ya NBC KWA makaburu !!mzee mchonga akakaairika Sana akamwambia Pengo kuwa kijana wake hafai amalize muda wake wa mhula mmoja akae pembeni!!Sasa Kipipa akazipata akamtuma dokta FULANI akamcheki afya mzee mchonga na ku do something kwenye blood circulatory system ya mchonga!!!alipoanza kuumwa tu wakam direct nje KWA matibabu kumbuka Waziri wa mambo ya nje alikiwa mr smile Sasa akampeleka kwenye kizahanati mtoto Hadi umauti ulipomkuta akapelekwa marehem mzee mganga/MCHAWI Kuuguza mzee mwenzake na ku spin taarifa Hadi RIP mzee mchonga ndio Mr smile Njia ikawa nyeupe kwenda kitalani!!!SOURCE YA TAARIFA NI HUMU HUMU JF KWA KUUNGANISHA DOTS!!!SAMAHANINI WAKUU!!!
Crack code mkuu.
 
Back
Top Bottom