Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Wakuu Late CEO alipokata moto kuna tetesi nilisikia kuwa huyu Past Meridian (PM) hakuridhika kabisa kuongozwa na madam ! Vipi nae ana misheni gani kuhusu Maza??
Awe na misheni gan? Si alipashwa live kuwa aache kidomo domo, hakna kampuni ya mpito? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]

Heheheheh pambeeeeeh.
 
NASIKIA alianza kuimba uongozi wa kampuni wa mpito kule mkutanoni!!walishajipanga ki vyao kuhusu new CEO a re sign Ili ateuliwe Mwingine Kuwa vice CEO Ili awe CEO!!Mpango ulifeli coz new CEO alikuwa anajua kinachoendelea!!!Sasa pm hana meno kafunikwa na Hata hafurahii anajikausha tu asitemeshwe ugali!!japo ki protocol si dhani kama atasavaivu huko MBELENI coz alihusika na kutaka kufanya uhaini na pesa iliibwa na kuwekwa akaunti yake akisaidiana na aliekuwa KK .BAk!! TUSUBIRI de'levis anayajua hayo!!! Anaweza kujitosa 2025 KWA nembo NYINGINE kama election itakuwepo coz Duru za humu jamvini zinaonyesha election unaweza isiwepo Hadi kitabu kitapokamilika!!!
Hatareeeeh sana.
 
Wee sikuinyaka hio masikini amepoa mnoo!!
Kheeeeh we huyu new CEO siku ya kwanza kuhutubia wafuasi wake, baada ya Sabufa ya mwanzo kuharibika ile masafa ya kanda ya kati, hukusikia povu na mipasho aliotoa?

Mbna aliwapasha live watu, hakuwaonea hata aibu, na wengine akawachana live waendelee na mission zao za 2025, wakutane wakati wa vikaratasi na masanduku.

Mweeeeeh pambe tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Black cat= PAKA a.k.a mtu mrefu..kama ndio huyu bas mkuu umeamua tu mumpa umuhimu..huyu hana lolote hana chochote...internal issue za pale kwake tu zinatosha kumfanya sleepless..sasa uthubutu huo wa ku plan kui subdue nchi yote hii anautoa wapi wakat hapo congo tu kajimbo kamoja tu kujimegea kamemshinda licha ya support ya mabwana zake cia usa na france..yaan ki nchi disorganized kama drc kadunda kujimilikisha as per plan ndio aje atu mudu tz...will never happen ever
Mkuu we ulitaka ajimilikishe vip wakati kila siku Jamaa anachota madini
 
Kheeeeh we huyu new CEO siku ya kwanza kuhutubia wafuasi wake, baada ya Sabufa ya mwanzo kuharibika ile masafa ya kanda ya kati, hukusikia povu na mipasho aliotoa?

Mbna aliwapasha live watu, hakuwaonea hata aibu, na wengine akawachana live waendelee na mission zao za 2025, wakutane wakati wa vikaratasi na masanduku.

Mweeeeeh pambe tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
le madame nae hajambo kumbe!!! Mungu amtie nguvu mama kwakweli !!
 
Back
Top Bottom