Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Unamuonea bure late CEO, hawa watu kutoka kwa PAKA wapo miaka mingi hapa nchini tokea enzi za uhuru, na wengi wao walikuwa majeshini,serikalini ,vyuoni na hata huyo `born town anawajua sana na hata kwenye utawala wake walikuwepo, na mmoja wapo alikuwa msemaji wa jengo jeupe karibu na soko la samaki enzi za Born town, na hadi sasa tunao ndio hawa wanajifanya wataka katiba ,hawa walikuwa wanamiliki magazeti na hadi sasa wana gazeti lao la kufungia utumbo, huyu amewahi kuwa mtu mzito na kuwa meneja kampeni wa marehemu mzee Ole wa Lupaso Koplo Dunia. Born town ndiyo aliyoyataka baada ya kuwaondoa wenzake ili abaki yeye kama Don. Marehemu Ole aliawanyamazisha akina Koplo Dunia sasa wameanza tena kubweka, mtu hasahau kwao hata kama hajazaliwa kwao.
Kuna wale waliokua katika idara nyeti tena wakubwa mno
Walipopata fununu wanafatiliwa waliamsha faster. Kitu kinanishangazaga , kwanini mipaka yetu iko wazi hivi? Kwann nchi yetu imekua jalala hv? Walinzi wa mipaka wako wapi?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Again... naona ukanda na uchuki umetawala..
Mr. Born town is smart. Na atashinda na nameombea ashinde. Sijui imekuaje hawa warwandese wameachwa hivi mpaka kwenye kampuni. I hate PAKA with passion. Uzuri mr. Born town anamjua kimbwa mbwa. Najua born town atawanyooshaaa. Kitu ambacho hamhakifikiria ni, born town leo hii akasepeshwa mmewaza ya Congo? Huyu paka anataka kututawala huu ukanda wote? Haiwezekani. Born town dont let us down. Kama hii code ni ya kweli wanyooshee. Na huyu bi kidude anaingia vipi kwenye vita na born town? Amemkosea nini? Mbona hata yeye hayuko salama? Shenzi kabisa. Anafikiria akimmaliza born town ndo atakua salama kwa huyo pakarapa? Ila jiwe alaaniwe sana boya yule. Aliruhusu huyu fala akawa na access zote mjini. Tz tumepatikaba

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Born town ni mhuni tu kaondoka mwanzilishi wa kampuni, na kampuni haijateteleka, kampuni itakuwepo tu kwani umauti upo palepale.
 
Kuna wale waliokua katika idara nyeti tena wakubwa mno
Walipopata fununu wanafatiliwa waliamsha faster. Kitu kinanishangazaga , kwanini mipaka yetu iko wazi hivi? Kwann nchi yetu imekua jalala hv? Walinzi wa mipaka wako wapi?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ninadhani kuna wakati tunajisahau kama Taifa badala ya kudeal na vitu vya msingi tunajikita kujadili siasa na upinzani tu, sasa watu wanapata loopholes na kujipenyeza kimya kimya.

Kunatakiwa kuwe na operation endelevu, kuwatafuta na kuwabaini. Kiongozi mkuu wa nchi kwenye masuala ya Ulinzi na Usalama awe anatega sikio kwa umakini kuwasikiliza makamanda wake ushauri anaopewa, asiwaingilie kuzima operation zao au mipango yao ya muda mrefu na muda mfupi.

Hawa ndio wataalam wanajua nini kiko namna gani, kipo wapi na kwa ajili gani.
 
Kwamfano, hawa ambao wameshalowea inakuaje? Maana ndo mashushushu wenyewe hawa. Naamini kila mtu ni mlinzi wa hili taifa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hivi jamani hili jambo titalisort vipi. Mbaya zaidi hii mizizi ccm waliyoikita daah
Upinzani nao ndo nkaa tia maji tia maji. Huu uzalendo wa kweli utaoatikana wapi jamani? Kuendelea kuua sindo tutazidi kichochea visasi? Maana kila kundi lina watu wao. Sindo matabaka yanazidi?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hakuna maana ya kutoana maisha...Kama kweli wazalendo wawapeleke lupango tu itatoa fundisho mpaka vizazi vyao vya mbali...Show aliyopiga hayati kwenye vyeti fake ikipigwa kwa wahujumu uchumi pia hakuna atakayerudia mambo ya hovyo tena hata kutamani...Ndiyo sababu nime mind sana hawa wanaojiita wazalendo huku wakiacha vizazi vya viwavi vikiendelea kula mema ya nchi
 
Mkuu, hii code ya koplo dunia imenifanya nicheke. Nilirudia twice ndio nikaelewa vizuri.

Hawa kutoka kwa paka walikuja zama za machafuko ya kimbari sio?
Hawa walikuja toka enzi za mchonga, matatizo kwao yapo miaka mingi hata kabla ya Mr Slimboy kushika usukani,yaani hawa watu kwa asili ni wagomvi hapa nchini wapo wengi wanajiita Watz kutoka Ngara,na wana nyadhifa kubwa na nyeti ila wote wana kitu kimoja ni kama Waisrael hawasahau kwao!
 
Late ceo nafasi ya kuwa CEO Bora kuliko wote hakuwa nayo sababu ya uwezo wake mdogo, nilichoona watu walikua na matarajio makubwa tu, ni Kama Sasa watu walivyo na matarajio makubwa kwa current ceo ikiwa uhalisia wanaujua au wameamua.
Born town anaonekana bora? Angalia vizuri anaonekana kwa akina nani bora, ni Kama wanaoona late ceo alikua bora.
Walio kwenye circle yake watamuona alikua bora, hivyohivyo kwa waliokua kwenye circle yaa late ceo.
Hawa washabiki wengine wala hawana nguvu, wao hutegemea tu upepo unavuma wapi kulingana na hao walio kwenye circle wanasemaje.
😅😅😅sawa
 
Hawa walikuja toka enzi za mchonga, matatizo kwao yapo miaka mingi hata kabla ya Mr Slimboy kushika usukani,yaani hawa watu kwa asili ni wagomvi hapa nchini wapo wengi wanajiita Watz kutoka Ngara,na wana nyadhifa kubwa na nyeti ila wote wana kitu kimoja ni kama Waisrael hawasahau kwao!
ina maana mtu kutoka ngara sio mtanzania? Hastahili kuwa kiongozi.au kuwa serikalini?
 
Kuna wengine humu eti wanadai elimu bure ni mzigo kwa serikali eti kwakua sisi ni masikini. Then utakuta huyu wa hivi ndiyo kiongozi mwenye maamuzi. Sasa kama watu ni masikini watalipiaje elimu? Viongozi wa namna hii ndiyo wale waliotuingiza kwenye majanga ya kukubali kizembe sera za IMF bila kujali kuwa hiyo ndiyo ilikuwa kaburi la maendeleo kwa nchi za Africa. Hawana ubunifu, wao wapo tayari kutumia pesa za kodi za raia masikini kulipana posho, kununua magari expensive, kwenda safari za nje kwa shoping badala ya kutumia pesa hizo kutoa huduma kama elimu bure, medication na kuzitumia kama seed money ili waweze kuwa coordinate hao masikini waongeze uzalishaji ambao utawapa uwezo wa watu wengi kulipa kodi na baadaye wawe na uwezo wa kulipia elimu, kuwa na uhakika wa chakula, kujenga nyumba bora etc...wapo huko wanadanganyana jinsi ya kugawana pesa za masikini kujipa raha wakisahau kuwa huo ndiyo ukatili kuliko ule wa wanayemwita mkatili...

Mpaka watu wa jinsi hiyo waondoke kwenye strategic governance positions hatuwezi toboa. Maana wao wanachojua ni kuongeza tu pesa za posho na safari zisizo na tija kwa taifa.
 
Imagine, leo hii hadi elimu yetu imekosa practice kwakua pesa nyingi zinaenda kwa vibosile kuwahudumia badala ya kutumika kulipia field practices kwa vijana wetu ambao nguvu kazi yao ingeweza kutumika kufanya vitu vingi kwa maendeleo ya taifa...Mfano, engineering, architecture, na wote kwenye field of constructions wangekuwa wanapelekwa kuanzia first year huko NHC kwenda kujenga nyumba bora za raia vijijini, barabara za mitaa na rural, kuweka mabomba ya maji na irigation schmes zisizo na bei kubwa bali zitakazo leta uhakika wa kilimo kwa mwaka mzima, je tusingepata vijana ambao wana uwezo kweli waki engineering kuliko ilivyo sasa hata kujenga kibanda wengi wao hawawezi? Je si hawa wangeweza later on ku transform hizo field associations or groups kuanzisha corporates ambazo baadaye zitakwenda ku strengthen private sekta kwakua tayari watakuwa na peer bonding katika hizo field practicles?

Yote haya hawa wazalendo wetu hawaoni, wao wapo busy kuviziana na kuwindana kama wanyama porini nani anaweza kumla mwenzake badala ya kutumia intelligence yao kuja na innovations kama hizo. Eti kuna paka sijui what! Wapendwa lets leave those trivial issues na kudhania mambo ya kufikirika...Its good yes kuilinda nchi yetu but is better kuilinda katika kuleta welfare na huo mwingine utakuwa automatic kwakua raia mwenye elimu bora, mwenye maisha mazuri na mwenye matumaini hawezi katu kurubuniwa na hawa madalali na matarishi wa mabeberu. Huyo paka anapata umaarufu kwakua anatumiwa na mabeberu na kuwezeshwa against wengi wetu ambao ni mis informed, poor and incapable on many things including kujiletea maendeleo yetu wenyewe.

Tuwaache wenye uwezo wa assume roles zao na sisi wengine ambao uwezo wetu unaishia kutumia tu badala ya kuwa wabunifu tutasaidika na vizazi vyetu. Hata hivyo some of us have decided to invite ourselves into dinner table...Just a matter of time watch and see...We gonna turn these tables upside down for the goodness of our country.

How? How? How?

Its a home work, lets love each other sooner or later you gonna see HOW? BORN TO CONQUER, OCCUPIE and to DOMINATE. Tuonane baadaye!
 
Kwamfano, hawa ambao wameshalowea inakuaje? Maana ndo mashushushu wenyewe hawa. Naamini kila mtu ni mlinzi wa hili taifa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kabisa,sote tuwe macho tusikubali kuchezewa wala kufanyiwa mzaha na yeyote yule kwenye kampuni yetu.

Hawa wasipewe sehemu nyeti kwenye uongozi.
 
Mkuu, hii code ya koplo dunia imenifanya nicheke. Nilirudia twice ndio nikaelewa vizuri.

Hawa kutoka kwa paka walikuja zama za machafuko ya kimbari sio?
Hv huyu koplo dunia jna lake limekaa kiswahili sana kumbe naye anaasili ya kule
 
Back
Top Bottom