Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

When you lose someone, you have to accept that grief and love cannot be separated. For when you reminisce the joys of your sweet love, you will be awakened by the suffering you have tried so hard to keep at bayView attachment 2331456
Unadhani utaweza kuwatoa hawa walimwengu kwenye reli?

Unajidanganya mkuu!

Picha tamu hizo wataangalia, na story itaendelea vizuri tu.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Don't take this writing tooo personal, this is just a story!! There is nothing here to relate guys! I repeat, nothing!! [emoji119]

But I think the second episode is going to bring more chaos[emoji16][emoji16]
23
24
25
26
Yet we're here waiting to hear more from you.
 
Don't take this writing tooo personal, this is just a story!! There is nothing here to relate guys! I repeat, nothing!! [emoji119]

But I think the second episode is going to bring more chaos[emoji16][emoji16]
Lete nondoo achana na hao ambao hawataki kuelewa kuwa hii ni story tu ya kufurahisha kijiwe lete vituuu tunasubiri
 
dip state sio mtu mmoja, its a bunch of people with good heads, patriotic and dedicated for their nation. Huwezi kuuzidi akili umati wa watu wenye akili wewe mtu mmoja, Every mission should be agreed with all seniors with some proper research and data from the ground.

To overthrow the dip state which set and work together for many years, you need also a lot of years and will need elimination of some important critical members without being noticed one by one silently.

How many years will be taken for silent elimination of more than 200 members from different department of dip state and you become the boss with full authority and all members looks after you?, isnt fuckin easy like many of you trying to think.

Back to the topic, In dark world and vibwengo world, its two far different cases.
Its easy for vibwengoz takes at easy with their easy world but no fuckin easy thinking in dark side.

There is states which have got no dark mgt rather than fuckin vibwengo leaving easy life which have been pirated in dark and controlled in dark very dip.

Dip down thinking to all stable states which are not pirated in dark and they are the controllers of their own darkness ~ You cant take the dip state and put in your control.
Since day one of independent, the handover from British was very clear and created two darkness with the top far in dip dark and other not near from the 1st one, they are all far are part ( its long story and not these vibwengoz heads can figure out).

Thanks, cheers.
No need of elimination, just buy them, every one has a price
 
Ni vyema umfate private kaka sio hivi unavyofanya
kwenye mambo ya intelijensia kuna kitu kinaitwa "social engineering".

huu uzi kwa sehemu kubwa ulikuwa unaanika au kugusa kambo ya wakuu(kama yapo,hahahaaa)na kuna baadhi wanadhani msimuliaji anazungumzia tamthilia,thats a big no.
ujio wa huyu anayejiita bachelor II ni mpango mkakati wa kumtuliza yoga.
kwenye social engineering huwa linatengenezwa tukio ili kuzima tukio.

Bachelor II ni states person na anachofanya ni kuwatoa watu kwenye "UWEPO".dah TISS bwana mmetisha sana.

kuna watu washafatwa inbox kwa mengineyo.bachelor II endelea na igizo lako kwa kiasi fulan umejitahidi
 
Alafu watu wamemkaushiaa kama hawamo vile. Hahaa acha aendelee kumwaga mashairi
 
Don't take this writing tooo personal, this is just a story!! There is nothing here to relate guys! I repeat, nothing!! [emoji119]

But I think the second episode is going to bring more chaos[emoji16][emoji16]

Tumeanza pata nabii kwa sisi wakristu viongozi kufululiza kuanzia mwakani , kundi litakaloanzisha vuguvugu linatokea hukooooo mwaka 2023-2024 ,viongozi idadi kubwa watakata kamba.

N:b haihusiani na mada hii ambayo ni hadithi ya kusadikika. Mimi napita zangu kuwakumbusha tumuombe Mungu kila sehemu tukiwa katika hadithi,senema,video na maongezi yote.
 
Watu wa west - kigoma,burund au rwanda ila nahisi ya kwanza inaweza kua
 
kwenye mambo ya intelijensia kuna kitu kinaitwa "social engineering".

huu uzi kwa sehemu kubwa ulikuwa unaanika au kugusa kambo ya wakuu(kama yapo,hahahaaa)na kuna baadhi wanadhani msimuliaji anazungumzia tamthilia,thats a big no.
ujio wa huyu anayejiita bachelor II ni mpango mkakati wa kumtuliza yoga.
kwenye social engineering huwa linatengenezwa tukio ili kuzima tukio.

Bachelor II ni states person na anachofanya ni kuwatoa watu kwenye "UWEPO".dah TISS bwana mmetisha sana.

kuna watu washafatwa inbox kwa mengineyo.bachelor II endelea na igizo lako kwa kiasi fulan umejitahidi
Ameonesha his true colours.
 
Tumeanza pata nabii kwa sisi wakristu viongozi kufululiza kuanzia mwakani , kundi litakaloanzisha vuguvugu linatokea hukooooo mwaka 2023-2024 ,viongozi idadi kubwa watakata kamba.

N:b haihusiani na mada hii ambayo ni hadithi ya kusadikika. Mimi napita zangu kuwakumbusha tumuombe Mungu kila sehemu tukiwa katika hadithi,senema,video na maongezi yote.

Wakubwa wanaendelea na ULEVI wao wa madaraka, hawana habari.

Kila mjumbe ANAONA lake, bt msg moja, ni maonyo, tugeuke, tuache UOVU na dhulma.

Mwingine aona mvua matone yake ni blood,

Mwingine aona watu wengi wakiwakimbiza watu Kutoka jumba kubwa Jeupe lenye viti vingi vyekundu,

Mwingine aona kiti kutokalika!!!!

Hakuna astukaye!!!¡!!!!!!

Tuendelee kuomba.

Ameeeen.
 
Kwakua unabii umekua specific kwamba walengwa ni wakubwa, mimi sioni shida kabisa. Yawakute tu asee.

Watanzania wanateseka kwa maisha magumu, matozo ya kila aina, yote hayo ili akina Mwigulu waishi maisha ya kufuru. Mimi sina muda wa kuwaombea asee!

Dua pekee ya kuomba, ni "Mapenzi yako yatimizwe".
 
No, majanga yatagusa raia pia, Tuombee Nchi, patatikiswa tusipoomba. Inatuhusu sote.
 
Back
Top Bottom