Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWAMBAyoga leo yuko busy chamwino kupokea hati za mabalozi wapya
🤣 mkulungwaYoga mrembo utashusha saa ngapi nipo kwa office kila nikiona date kinyege Cha kuchungulia uzi kinakuja
Saa tatu USIKU Kama siku ile!Kwaiyo ndio tuseme bachelor ll kafanikisha lengo lake au
Ila Leo hajaonekana kabisa humu..ila fresh ngoja tusubiriSaa tatu USIKU Kama siku ile!
NItumie namba yake huyo maringo ringo nimpashe 😁Za ndani kabisa: Yeye yuko busy, kuna msaidizi wake kapewa kazi toka jana naye ndo wale malingo lingo meengi,[emoji38][emoji38][emoji38]
Yoga sio wa kushikwa kizembe hivyo.Yoga labda kapigwa na.kitu kizito kichwani akazimia akapoteza fahamu, akafungwa kitambaa kisha.computwr yake ikachukuliwa na simu kupigwa tunae, je mmewasha tracker ktk mwili wake, hapana boss bado hatujawasha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]