Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Watanzania hatujui kutofautisha vita ya wenyew kwa wenyewe na vita inayohusisha watu wa nje.

Mim huu uzi nina mashaka nao na kuna watu humu ukisoma tu comment zao utaelewa kuna kitu

Kuna mtu hpa nilimchallenge tu kidogo nikaona amebadilisha profile picture akabadili na username. Sasa hv naona ana ID mbili

Haya niliyoyasema sina uhakika nayo, ni hisia tu na Sio lazma ziwe za kweli
 
Sasa Watu Wameanza Kuwa Na Akili Ila Utapambana na Upinzani Mwingi Sana Juu Ya Hili
Acha Tuone Lakini Tuendako ni Kugumu Mno
 
20220929_115915.jpg
 
Back
Top Bottom