Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

IMG_5681.jpg

Bimkubwa analalamika wanampiga huku watu wanapita na billions of money :tuendeleee na story yetu [mention]yoga [/mention] hii weekend issiishe bure
 
View attachment 2570238
Bimkubwa analalamika wanampiga huku watu wanapita na billions of money :tuendeleee na story yetu [mention]yoga [/mention] hii weekend issiishe bure
Huyu mtu si ni mwajiri mkuu katika hii nchi au?
Huyu mtu vitendea kazi si vyote anavyo, vyombo vyote vya dola na mahakama si vipo chini yake au?
Kwa nini analalamika lalamika?
Anachukua hatua zipi kwa wateule wake wanaofanya ufisadi?
 
Attachments

  • VID-20230330-WA0039.mp4
    6.5 MB
Back
Top Bottom