Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

The MoNA asante sana kwa kunitoa tongongo kwa mbaaaaali, Dip steti ni dubwasha fulani linatisha, heri yao walio kwenye hilo dubwashiko.
Kuna sehemu Yoga alisema Bt alikuwa ni katibu wao, na kuna wale 10 kwa 7 walimfuata, inaonekana kwenye mazungumzo yao kama vile Bt hawaogopi na kama vile anawajua sana kuliko.
Hahah mkuu hii dip steti achana nayo huwezi kuijua yote. Ndivyo waishivyo kwa kanuni zao. Nadhani hufanya hivyo ili kuiacha ikiwa salama.

Kwa uchache hutambuana. Inasemekana kuna dip steti ndani ya deep steti.
Hii dip steti huwa ni kikundi cha watu, wanaopanga mambo ya kampuni husika kwa msaada wa wenye akili na uwezo wa ki mwili na kiroho.

Unakita unapanga nao mipango ila hawakuambii sisi ndio dip steti, wanakuruhusu ufanye yako kwa mipaka watakayokuwekea wao. Hii dip steti wana mamlaka ndani ya kampuni na nje ya kampuni hupata msaada wa dip steti nyingine.

Ndio maana 1st CEO wa kampuni alitaka kupinduliwa mara kadhaa.!!! Sasa jiulize yeye kama muasisi wa taifa hili hakuijua hii mipango kama alikuwa anawindwa? Baada akamtaka waziri yule achukue kiti chake wakamla kichwa. Dip steti iko wapi,? Je ni watu wa kawaida waliiweza kampuni kiasi cha kumla kichwa kiongozi mkubwa kama yule? Je, 1st CEO unafikiri aling’atuka kwa kupenda? La maji yaliyazidi unga. Kama mhasisi hakuweza kuijua dip steti yote, je BT atakuwa kaijua yote?

Deep state within deep state.
 
The MoNA kama 1st CEO kwamba hakuijua yote,
1. je Mwasisi wa dip steti Tanzania ni nani?

2. Dip steti ilianzishwa mwaka gani Tanzania?

3. Malengo ya kuanzishwa Tanzania ni yapi?
 
Mbona inasemekana Ben ten aliondolewa na late CEO? Coz mtu mpekee anayemuheshimu na kumuogopa alikuwa ni Ben ten. Ben ten alikuwa akimkanya na kumkaripia kindakindaki late CEO.. So late akaona usiwe tabu ngoja atangulie then the next is TB...
But BT akamuwahi. Ila ukiua na wewe utauwawa tu.

Kuna mzee nilikutana nae alikuwa kitengoni enzi za muasisi wa kampuni. Baada ya bwana BT kuutaka u CEO muasisi akamtuliza kuwa ni dogo then kiti akapewa Ben ten but before kupewa kiti muasisi alimtuma mtu akachimbe back round ya Ben ten since he was born huko kusini na ikagungulika Ben ten alikuwa na msala flan ambao wakimapenzi na aliwah kumRIP mhasimu wake.

So, mipango ikiwa imekamilika na Ben 10 akijua Hana baya ghafla akaitwa nyumba nyeupe nakupewa fail lake hakuamini na alihisi tupo naked. But muasisi akamwambia relax aliyeleta hilo file kwangu ni someone na akiendelea kuwepo anaweza kutumia huo udhaifu kukusumbua.
So maagizo ilikuwa akipewa kiti aanze naye! Kweli, sooner after kupewa mikoba akamRIP jamaa then muasisi alivyoona jamaa kasepeshwa akajua Ben 10 kufanya yake na kumuuliza akakiri.
So muasisi akawa anammiliki Ben 10 kwa kuwa yeye ni muasisi alimpigania kiti. Pia ana file lake la kuua huko kwao na jengine lakumuua shahidi..
Ben 10 hakupenda maisha yale kila akimuona muasisi anahisi kama ataropoka vile.. Akaamua amtangulize muasisi... Eti lkn.

SASA HUYU MZEE SIJUI ALIZIPATAJE KAMA ILIKUWA SIRI YA MUASISI NA BEN 10. [emoji1787][emoji1787]
Ben aliondolewa na BT na haraka haraka vijana wa BT wakaja na tuhuma kuwa late CEO anahusika. Lengo la kumuondoa be ili BT na timu yake wakija muondoa late CEO asipatikane wa kupiga kelele. Lakini ben naye alipita na mchonga ili abinafsishe NBC kuzaa NMB na mashirika ya umma. Maana ingekuwa late CEO alimuondoa ben basi hata BT angekuwa kaondoka naye. Maana late CEO alipewa nyeti za uhaini ili atoe ruhusa ya kummaliza BT ila alikataa kabisa.
 
Nachohisi hili dip siteti lilisukwa na 1st CEO wakati anaamua kuachia ngazi akaona awese kuongoza kwa mkono wa nyuma kupitia hili dude zito. Kumbuka 1964 kuna maasiyalitokea jeshini, kisha mwaka 1982/1983 watu wakakitaka kiti.

Hili dude linaogopeka mno, na ndilo linaweka wahusika madarakani, hata 2015 chguo la BT halikua chaguo la Dip Siteti, akaja na lao maisha yakasonga.

Nachoshindwa kuelewa ikaaje 2021 yakatokea yaliyotokea, je late alikua kinume na hili dubwana kubwa? Wakala kichwa nk ama kuna nini nyuma ya pazia
 
Kwanza tufahamu Muundo wa deep state ni Siri na hakuna anayejua Muundo wao hata Putin aliwahi kuwalalamikia nanukuu "Inaonekana Kuna Watu wenye nguvu Kubwa nyuma ya Serikali zote Duniani na ndiyo wanaamua Mustakabali wetu" kwa mawazo ya haraka tu hawa deep state wapo Kama kabeji au kitunguu ukiwa ganda la juu ujue Kuna ganda lingine na lingine na lingine hivyo hauwezi kuwafahamu hata siku moja mbaya zaidi hawana utambulisho na kumbuka miongoni mwao ni wafanyabiashara matajiri na ikumbukwe hao matajiri wanao run show huwez kuwakuta ktk list za Forbes Ila hao akina Gates,Elon,Jeff Bezon na wengine wengi ni wafanyakazi wanaosimamia na kuwezeshwa na hao wasiojulikana,JFK pia aliwalalamikia vile vile hadi mauti yanamkuta.Duniani Kuna Siri ambazo hatutakaa tufahamu kamwe hata hao Wachache wanaojifahamu hawawafahamu wengine wa ndani ndani milele na milele so Unaeza kuwa sehemu ya juu tuu na pia ukawa monitored na Kuna mengine hayajui kbs imagine wanaomiliki Federal reserve how powerful they are? Mi nadhani huu Ulimwengu unamilikiwa na Watu Wachache Sana na ndiyo hao wametengeneza hizi deep state za kibara,Kanda na taifa,jiulize Kama vyombo vya Ulinzi na usalama vinaripoti kwa ceo je ceo anaripoti kweli kwa vibwengo Kama asemavyo ndugu yetu? Kuna Siri ndani ya Siri na ndani ya ile Siri ya ndani tena Kuna Siri nyingine ndani ndani uko sirini ambao kimuundo Inaonekana ni Watu Wachache Sana wenye mrengo unaofanana kwa kila kitu uko sirini ndani ndani kbs.
 
Itoshe tu kusema bt ni kina kirefu.

Nikikumbuka ile 95 wakati anakubali kiurahisi kumuachia nafasi bwm vile alivyo sema team zangu za kampeni zote ziwe timu za bmw!
Kumbe mwamba ako na team tokea enzi hizo, tena team za ushindi.

Ndio mkuu.
Kina kirefu ambacho kukipima wahitaji vifaa maalum.

Mwamba plans zake kutoka akiwa monduli ndizo anazoziishi sasa. BT ndiye CEO aliyeukwa uCEO kwa kuuchorea ramani toka kitambo sio kitu cha kubahatisha.
 
Mbona inasemekana Ben ten aliondolewa na late CEO? Coz mtu mpekee anayemuheshimu na kumuogopa alikuwa ni Ben ten. Ben ten alikuwa akimkanya na kumkaripia kindakindaki late CEO.. So late akaona usiwe tabu ngoja atangulie then the next is TB...
But BT akamuwahi. Ila ukiua na wewe utauwawa tu.

Kuna mzee nilikutana nae alikuwa kitengoni enzi za muasisi wa kampuni. Baada ya bwana BT kuutaka u CEO muasisi akamtuliza kuwa ni dogo then kiti akapewa Ben ten but before kupewa kiti muasisi alimtuma mtu akachimbe back round ya Ben ten since he was born huko kusini na ikagungulika Ben ten alikuwa na msala flan ambao wakimapenzi na aliwah kumRIP mhasimu wake.

So, mipango ikiwa imekamilika na Ben 10 akijua Hana baya ghafla akaitwa nyumba nyeupe nakupewa fail lake hakuamini na alihisi tupo naked. But muasisi akamwambia relax aliyeleta hilo file kwangu ni someone na akiendelea kuwepo anaweza kutumia huo udhaifu kukusumbua.
So maagizo ilikuwa akipewa kiti aanze naye! Kweli, sooner after kupewa mikoba akamRIP jamaa then muasisi alivyoona jamaa kasepeshwa akajua Ben 10 kufanya yake na kumuuliza akakiri.
So muasisi akawa anammiliki Ben 10 kwa kuwa yeye ni muasisi alimpigania kiti. Pia ana file lake la kuua huko kwao na jengine lakumuua shahidi..
Ben 10 hakupenda maisha yale kila akimuona muasisi anahisi kama ataropoka vile.. Akaamua amtangulize muasisi... Eti lkn.

SASA HUYU MZEE SIJUI ALIZIPATAJE KAMA ILIKUWA SIRI YA MUASISI NA BEN 10. [emoji1787][emoji1787]
Duh! Kuna watu wana Roho! Aisee!
 
The MoNA asante sana kwa kunitoa tongongo kwa mbaaaaali, Dip steti ni dubwasha fulani linatisha, heri yao walio kwenye hilo dubwashiko.
Kuna sehemu Yoga alisema Bt alikuwa ni katibu wao, na kuna wale 10 kwa 7 walimfuata, inaonekana kwenye mazungumzo yao kama vile Bt hawaogopi na kama vile anawajua sana kuliko.
Ila mbona visa vingine vinakua personal sana ila vina sura ya dipstaity
 
Hawezi kukosa, alishaingia anga za BT mara kadhaa akaona kila alifanyalo BT yupo hapo.

Akapunguza speed, na kwa ushauri wa MZEE akampa plans kadhaa za kudeal naye na sio kama Sasha alivyokuwa anataka.
Kukosekana ni ngumu.
Ndio wanazidi kumlewesha!
 
Mbona inasemekana Ben ten aliondolewa na late CEO? Coz mtu mpekee anayemuheshimu na kumuogopa alikuwa ni Ben ten. Ben ten alikuwa akimkanya na kumkaripia kindakindaki late CEO.. So late akaona usiwe tabu ngoja atangulie then the next is TB...
But BT akamuwahi. Ila ukiua na wewe utauwawa tu.

Kuna mzee nilikutana nae alikuwa kitengoni enzi za muasisi wa kampuni. Baada ya bwana BT kuutaka u CEO muasisi akamtuliza kuwa ni dogo then kiti akapewa Ben ten but before kupewa kiti muasisi alimtuma mtu akachimbe back round ya Ben ten since he was born huko kusini na ikagungulika Ben ten alikuwa na msala flan ambao wakimapenzi na aliwah kumRIP mhasimu wake.

So, mipango ikiwa imekamilika na Ben 10 akijua Hana baya ghafla akaitwa nyumba nyeupe nakupewa fail lake hakuamini na alihisi tupo naked. But muasisi akamwambia relax aliyeleta hilo file kwangu ni someone na akiendelea kuwepo anaweza kutumia huo udhaifu kukusumbua.
So maagizo ilikuwa akipewa kiti aanze naye! Kweli, sooner after kupewa mikoba akamRIP jamaa then muasisi alivyoona jamaa kasepeshwa akajua Ben 10 kufanya yake na kumuuliza akakiri.
So muasisi akawa anammiliki Ben 10 kwa kuwa yeye ni muasisi alimpigania kiti. Pia ana file lake la kuua huko kwao na jengine lakumuua shahidi..
Ben 10 hakupenda maisha yale kila akimuona muasisi anahisi kama ataropoka vile.. Akaamua amtangulize muasisi... Eti lkn.

SASA HUYU MZEE SIJUI ALIZIPATAJE KAMA ILIKUWA SIRI YA MUASISI NA BEN 10. [emoji1787][emoji1787]

[emoji81]hapo mwisho sasa.

Unazipata ukishamuwa mtu wa kitengo, a mfukunyuku zaidi. Sio mtu wa kusubiri kupewa data tu, mbina utapata vizuri tu. Je kama huyo aliyetangulizwa na ben 10 alimwambia huyo mzee? Doesn’t that make sense?

Pakishakuwa na mazungumzo, bajna ya wawili wakizungumza siri, ujue sio siri tena. Huyo mtafuta data hakua akitafuta mwenyewe tu kwa kuangalia alitumia watu. Je vipi kama aliomba msaada kwa mzee? Doesnt that make sense?

Niliwahi kusoma mahali kuhusu hili kwenye comment moja ya uzi ambao siukumbuki. Kuwa ben ten alimtanguliza muasisi, kwa kuwa alikuwa kikwazo kwake kimamlaka. Leo umeniongezea taarifa muhimu sana, huenda ikawa kikwazo kikawa ndiyo hayo mafaili. Ila alimuondoa unnoticed kiasi muasisi hakulijua hili. Vinginevyo angeshampa faili mtu mwingine adili nalo.

Yeah The late CEO, mtu aliyekuwa anamsikiliza ni ben ten, huyo ndiye alimuingiza kwenye uongozi wa kampuni. Kuna kipindi akiwa na cheo chq kusimamia wizara fulani ndani ya kampuni, late CEO aliwekewa poison ili atangulizwe, alionekana mwimba kwenye deals za watu. Akanusurika kisha akamfuata Ben ten akamwambia mim siwezi tena, nataka kuacha mambo ya kampuni. Bet ten akamuita kwa jina lake akamwambia kapige kazi usiogope. Nafikiri ndicho kilimfanya late CEO kumsikiliza sana Ben ten hata kumuogopa, hata uCEO alipewa na ben ten. Unajua kamati kuu ya green party kilikua kama chini ya ben ten alikuwa na sauti sana tena sana. Yeye ndiye alisema nywele nyeupe na dodo wakatee majina kisha late CEO apitishwe. Hapa ni baada ya majibizano ya lisaa na zaidi kamatini.
Lakini upande wa pili inasemekana Ben ten alikuwa kikwazo kwa BT kwenye mambo yake hivyo akamtanguliza ben ten ili aje kwa late CEO. Kwan angeanza na late CEO Ben ten angekuwa mwiba mkali sana.

Bado sijapata taarifa sahihi kati ya BT na late CEO nani alihusika na kutangulizwa kwa Ben ten?

Ila huko juu vita sio poa inahitaji nguvu nyingi za kiroho kuliko za kimwili.
 
Clean.

Nipo upande wa BT anavyodeal na PK, napenda haswaaa. Maana PK anamjua BT ni master mind, na hamwezi hata kidgo. More than 15+ years anamvizia BT na kumuundia timu za kudeal naye ambazo ndani ya kampuni zina nguvu ila ndio hivyo hatoboi.

Kweli as you said, PK sio wa kumchekea hata kidgo yule wa kudeal naye sahani moja. Anachofanya bakavu asituleter na huku.

Sema nini, dipu steti wanashindwa kuungana na BT kumuondoa PK, wanajua wakifanikiwa hakuna wa kumsumbua BT kichwa hivyo ataiweza kiwepesi dipu steti kudeal nayo.

Ndio maana moja ya episode, inaonesha MZEE akimwambia current CEO, waungane na late CEO fans, pamoja na PK wamuangushe BT kisha wamuangushe PK kisha kitabu kiandikwe kampuni ianze kama kwa upya.

Aisee hapa utaona how BT is a BIG SHARK in the Ocean. Wamejaribu mara kadhaa wamemshindwa ikiwemo late CEO ndipo BT akaona eh nikicheza nawaishwa mie, akamtanguliza. Ndipo akadhoofisha akina wafuasi wake.

Kamuwaisha BMW, akawafuata waaminiwa wa late CEO, kisha late CEO mwenyewe.

BT[emoji91][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]. Huko kambini kuna waka moto, hapakaliki.

Ila BT bwana yule, angekubali tu cake ya taifa iliwe na wengine kama kipindi cha utawala wake. Tungemmwagia maua yake.
Kwanza nikiri wazi mimi mwenyewe ni Fan wa BT nazikubali sana akili zake na jinsi anavyowahenyesha adui zake ila siku za hivi karibuni baada ya kifo cha Mai Dodo ni kama BT amekuwa dhaifu sana,saikolojia yake ni kama anapoteana hivi!

Nakasirika sana ninapoona role model wangu anapoteana,mfano hotuba yake ya leo pale jumba jipya haikupaswa kuwa vile!ilitakiwa amsifie late CEO mwanzo mwisho ili kuwapoteza maadui.

Mungu ibariki Tanzania,mpe maisha marefu BT.(emotions zinampagawisha,now he is too week, I'm afraid the man will fall this time)
 
The MoNA asante sana kwa kunitoa tongongo kwa mbaaaaali, Dip steti ni dubwasha fulani linatisha, heri yao walio kwenye hilo dubwashiko.
Kuna sehemu Yoga alisema Bt alikuwa ni katibu wao, na kuna wale 10 kwa 7 walimfuata, inaonekana kwenye mazungumzo yao kama vile Bt hawaogopi na kama vile anawajua sana kuliko.

Enhee..!!! Huko ni dip stet ndani ya dip stet ndani ya dip stet.

Unaweza kuona umeimaster kumbe upo hatua za awali kuielewa. Ni li dumbwana kweli.

Yes BT level alizofikia ni kubwa sana kwenye dip stet, japo hajafikia sehemu ya maamuzi binafsi. Ndicho kilichomfelishs late CEO yeye alideal na BT direct, badala kuusoma mchezo wote na mfumo wa BT. BT amekuwa mvumilivu toka enzi hizo za muasisi ili tu apate kuijua kampuni.

Yaani dip steti ni kama pyramid hivi mfumo wake.
 
Uelewa huru!

HADI sasa:-

Deep state imegawanyikar makundi makuu mawili

1.watu wanaoonekana japo hawajulikani

2.Roho za kuzimu zinazoamua hatma ya kesho na viongozi wajao wa kampuni!

Hao wanajua baada ya new CEO nani anashika nafasi ya kampuni na kuendelea!!

Hivyo tu

2) kumbe Zile mambo za KIOO Zina ukweli [emoji102]
 
Kwanza tufahamu Muundo wa deep state ni Siri na hakuna anayejua Muundo wao hata Putin aliwahi kuwalalamikia nanukuu "Inaonekana Kuna Watu wenye nguvu Kubwa nyuma ya Serikali zote Duniani na ndiyo wanaamua Mustakabali wetu" kwa mawazo ya haraka tu hawa deep state wapo Kama kabeji au kitunguu ukiwa ganda la juu ujue Kuna ganda lingine na lingine na lingine hivyo hauwezi kuwafahamu hata siku moja mbaya zaidi hawana utambulisho na kumbuka miongoni mwao ni wafanyabiashara matajiri na ikumbukwe hao matajiri wanao run show huwez kuwakuta ktk list za Forbes Ila hao akina Gates,Elon,Jeff Bezon na wengine wengi ni wafanyakazi wanaosimamia na kuwezeshwa na hao wasiojulikana,JFK pia aliwalalamikia vile vile hadi mauti yanamkuta.Duniani Kuna Siri ambazo hatutakaa tufahamu kamwe hata hao Wachache wanaojifahamu hawawafahamu wengine wa ndani ndani milele na milele so BT anaeza kuwa sehemu ya juu tuu na yeye pia Yuko monitored na Kuna mengine hayajui kbs imagine wanaomiliki Federal reserve how powerful they are? Mi nadhani huu Ulimwengu unamilikiwa na Watu Wachache Sana na ndiyo hao wametengeneza hizi deep state za kibara,Kanda na taifa,jiulize Kama vyombo vya Ulinzi na usalama vinaripoti kwa ceo je ceo anaripoti kweli kwa vibwengo Kama asemavyo ndugu yetu? samurai Kuna Siri ndani ya Siri na ndani ya ile Siri ya ndani tena Kuna Siri nyingine ndani ndani uko sirini ambao kimuundo Inaonekana ni Watu Wachache Sana wenye mrengo unaofanana kwa kila kitu uko sirini ndani ndani kbs.
Wenye dip taste leo wapo kwenye kikao chao kama ilivyoelezwa...Nimeota tu abunuasi mie!
 
[emoji81]hapo mwisho sasa.

Unazipata ukishamuwa mtu wa kitengo, a mfukunyuku zaidi. Sio mtu wa kusubiri kupewa data tu, mbina utapata vizuri tu. Je kama huyo aliyetangulizwa na ben 10 alimwambia huyo mzee? Doesn’t that make sense?

Pakishakuwa na mazungumzo, bajna ya wawili wakizungumza siri, ujue sio siri tena. Huyo mtafuta data hakua akitafuta mwenyewe tu kwa kuangalia alitumia watu. Je vipi kama aliomba msaada kwa mzee? Doesnt that make sense?

Niliwahi kusoma mahali kuhusu hili kwenye comment moja ya uzi ambao siukumbuki. Kuwa ben ten alimtanguliza muasisi, kwa kuwa alikuwa kikwazo kwake kimamlaka. Leo umeniongezea taarifa muhimu sana, huenda ikawa kikwazo kikawa ndiyo hayo mafaili. Ila alimuondoa unnoticed kiasi muasisi hakulijua hili. Vinginevyo angeshampa faili mtu mwingine adili nalo.

Yeah The late CEO, mtu aliyekuwa anamsikiliza ni ben ten, huyo ndiye alimuingiza kwenye uongozi wa kampuni. Kuna kipindi akiwa na cheo chq kusimamia wizara fulani ndani ya kampuni, late CEO aliwekewa poison ili atangulizwe, alionekana mwimba kwenye deals za watu. Akanusurika kisha akamfuata Ben ten akamwambia mim siwezi tena, nataka kuacha mambo ya kampuni. Bet ten akamuita kwa jina lake akamwambia kapige kazi usiogope. Nafikiri ndicho kilimfanya late CEO kumsikiliza sana Ben ten hata kumuogopa, hata uCEO alipewa na ben ten. Unajua kamati kuu ya green party kilikua kama chini ya ben ten alikuwa na sauti sana tena sana. Yeye ndiye alisema nywele nyeupe na dodo wakatee majina kisha late CEO apitishwe. Hapa ni baada ya majibizano ya lisaa na zaidi kamatini.
Lakini upande wa pili inasemekana Ben ten alikuwa kikwazo kwa BT kwenye mambo yake hivyo akamtanguliza ben ten ili aje kwa late CEO. Kwan angeanza na late CEO Ben ten angekuwa mwiba mkali sana.

Bado sijapata taarifa sahihi kati ya BT na late CEO nani alihusika na kutangulizwa kwa Ben ten?

Ila huko juu vita sio poa inahitaji nguvu nyingi za kiroho kuliko za kimwili.
Para ya mwisho ni muhimu sana kuliko zooote
 
Back
Top Bottom