Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbuyu unadondokaKwanza nikiri wazi mimi mwenyewe ni Fan wa BT nazikubali sana akili zake na jinsi anavyowahenyesha adui zake ila siku za hivi karibuni baada ya kifo cha Mai Dodo ni kama BT amekuwa dhaifu sana,saikolojia yake ni kama anapoteana hivi!
Nakasirika sana ninapoona role model wangu anapoteana,mfano hotuba yake ya leo pale jumba jipya haikupaswa kuwa vile!ilitakiwa amsifie late CEO mwanzo mwisho ili kuwapoteza maadui.
Mungu ibariki Tanzania,mpe maisha marefu BT.(emotions zinampagawisha,now he is too week, I'm afraid the man will fall this time)
Yaani hakika nilijisahau chief. Nimedelete kabisa. Naomba pia u delete. Nilienda kinyume na uziUmeboa chief, futa majina hayo unaharibu uzi. Tumia codes kama mwandishi wa riwaya alivyotaka.
Samahani.
Tuliosoma Cuba tumekuelewaKwanza nikiri wazi mimi mwenyewe ni Fan wa BT nazikubali sana akili zake na jinsi anavyowahenyesha adui zake ila siku za hivi karibuni baada ya kifo cha Mai Dodo ni kama BT amekuwa dhaifu sana,saikolojia yake ni kama anapoteana hivi!
Nakasirika sana ninapoona role model wangu anapoteana,mfano hotuba yake ya leo pale jumba jipya haikupaswa kuwa vile!ilitakiwa amsifie late CEO mwanzo mwisho ili kuwapoteza maadui.
Mungu ibariki Tanzania,mpe maisha marefu BT.(emotions zinampagawisha,now he is too week, I'm afraid the man will fall this time)
Mkuu... Deep siteti.. Ni ngumu kujua undani wake... BT anajua baadhi ya members tuu... Yeye BT hana shida nao... Amejifunza toka zamani kuishi na jamii vizuri...Nachohisi hili dip siteti lilisukwa na 1st CEO wakati anaamua kuachia ngazi akaona awese kuongoza kwa mkono wa nyuma kupitia hili dude zito. Kumbuka 1964 kuna maasiyalitokea jeshini, kisha mwaka 1982/1983 watu wakakitaka kiti.
Hili dude linaogopeka mno, na ndilo linaweka wahusika madarakani, hata 2015 chguo la BT halikua chaguo la Dip Siteti, akaja na lao maisha yakasonga.
Nachoshindwa kuelewa ikaaje 2021 yakatokea yaliyotokea, je late alikua kinume na hili dubwana kubwa? Wakala kichwa nk ama kuna nini nyuma ya pazia
Sure pale kwenye uzinduzi amemiss point za bure kabisa, kwanza ilikua ni nasibu tu kupata nafasi ya kuongea, angetumia nafasi hiyo kutupoteza maboya wakina sisi kwa kumpa sifa the late.Kwanza nikiri wazi mimi mwenyewe ni Fan wa BT nazikubali sana akili zake na jinsi anavyowahenyesha adui zake ila siku za hivi karibuni baada ya kifo cha Mai Dodo ni kama BT amekuwa dhaifu sana,saikolojia yake ni kama anapoteana hivi!
Nakasirika sana ninapoona role model wangu anapoteana,mfano hotuba yake ya leo pale jumba jipya haikupaswa kuwa vile!ilitakiwa amsifie late CEO mwanzo mwisho ili kuwapoteza maadui.
Mungu ibariki Tanzania,mpe maisha marefu BT.(emotions zinampagawisha,now he is too week, I'm afraid the man will fall this time)
Naam , kitu pekee alichojaliwa ni uvumilivu na tabasamu la aina yake, lakini ni mtu mwenye abc za kutosha kwenye hii state, mwanzo wake sio jana wala leo, kama alikua tayari kuwania uceo kati kati ya miaka ya 90 na aliwini kwa kiasi kikubwa dhidi ya ngome kubwa kipindi kile, aliwini dhidi ya teacher ambae ndio yake ilikua ndio na hapana yake ilikua hapana kweli. Itoshe kusema huyu mr sio wa kupika nae chungu kimoja, kosa kubwa late ceo haukuzingatia ukubwa wa huyu mtu, alidhani ukiisha kiwa chief executive officer basi hakuna yoyote juu yako wala kando yako anaweza sumbua, kumbe bwana alipo lala leo mwenzie aliamka jana, ni kusema kitanda ulicholala unajua kunguni wake!Ndio mkuu.
Kina kirefu ambacho kukipima wahitaji vifaa maalum.
Mwamba plans zake kutoka akiwa monduli ndizo anazoziishi sasa. BT ndiye CEO aliyeukwa uCEO kwa kuuchorea ramani toka kitambo sio kitu cha kubahatisha.
Hi!Hi guys!! [emoji102]
11. Ni nchi muhimu since it was PART OF EDENCombination yenye influence kwenye nchi za kiafrika huwa ni former colonial masters, the USA, and the influential religious group. Sometimes nchi za kiafrika zinaweza kuwa na vipindi vya uhusiano wa karibu na Uchina, Urusi, na nchi za Uarabuni. Lakini uhusiano huu sio wa muda mrefu kama uhusiano wao na former colonial masters, the USA, and the influential religious group.
Kwa Tanzania, former colonial master ni UK. So UK (especially Labour Party na Fabian Society), wana influence. Wamarekani (zamani Democrats, na kwa sasa hivi Republicans pia) wana influence, na Vatican wana influence. Wajerumani wanajaribu kuwa na influence, lakini the Anglo-Vatican-USA group wanawa limit. Tatizo la Ujerumani sometimes ni uimla na ubaguzi. Tatizo la Anglo-Vatican-USA group ni kwamba sera zao zimeshindwa kuwainua watanzania walio wengi kutoka kwenye umasikini. Anglo-Vatican-USA group, nao pia sometimes kwenye anga zao wana uimla na ubaguzi.
Deputy CEO (au mtu wa aina yake) anaonekana ndie candidate wa the Anglo-Vatican-USA group. Deputy CEO ni mkatoliki, na kwenye familia yake kuna waanglikana (wanaopenda ukatoliki), alifanya kazi World Bank, na anajinasibu kuwa anapenda wanyonge. Mataifa ya Rwanda, Burundi na Uganda, huenda pia yanampenda deputy CEO. Waprotestanti wanaopenda ukatoliki huwa wanawaungaga mkono the Anglo-Vatican-USA group.
Washindani wa the Anglo-Vatican-USA group in Tanzania, ni makabila yenye madhehebu ya kijerumani, na yenye madhehebu ya kipentekoste, na waanglikana wasiopenda kuwa karibu na Vatican, na watu wenye siasa za mrengo wa kati au na mrengo wa kulia, na watu wa mrengo wa kushoto, wanao ona kwamba siasa za kutetea wanyonge haziwatetei vizuri ipasavyo.
Marais wote tuliowapata tangu uhuru (including marais waislamu) huwa wanakuwa ni watu wa the Anglo-Vatican-USA group. Tangu uhuru, Tanzania, haijawahi kuwa na rais mprotestanti. Kama ikija kutokea, basi kuna uwezekano mkubwa, rais huyo akawa na sera hizo hizo za kundi la Anglo-Vatican-USA.
Note that over the years wanasiasa wa Tanzania wa kambi ya the Anglo-Vatican-USA group, wame compromise (na kuamua kuimprove) sera zao, na wameanza kupenda elimu ya sekondari (walikuwa wanapenda elimu ya msingi na VETA), wameanza kuruhusu wafanyabiashara weusi wazawa, wamefanya some decentralisation.
Born Town yuko kwenye kundi moja na ceo mstaafu wa kampuni kubwa kabisa ya afrika magharibi ambae zamani alikuwa mwanajeshi, pamoja na ceo mtendaji wa zamani wa kampuni moja ya Ulaya, ambayo zamani ilitawala kampuni ya Born Town, pamoja na ceo wa zamani wa kampuni kubwa kabisa duniani (na team yake, na marafiki zake). Born Town kwa sasa anaonekana ndie agent mkuu wa Anglo-Vatican-USA kwenye kampuni yake.
Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.
3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.
4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.
5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.
6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.
7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.
8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.
9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.
10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.
Follow the MONEY utawajua.Kwanza tufahamu Muundo wa deep state ni Siri na hakuna anayejua Muundo wao hata Putin aliwahi kuwalalamikia nanukuu "Inaonekana Kuna Watu wenye nguvu Kubwa nyuma ya Serikali zote Duniani na ndiyo wanaamua Mustakabali wetu" kwa mawazo ya haraka tu hawa deep state wapo Kama kabeji au kitunguu ukiwa ganda la juu ujue Kuna ganda lingine na lingine na lingine hivyo hauwezi kuwafahamu hata siku moja mbaya zaidi hawana utambulisho na kumbuka miongoni mwao ni wafanyabiashara matajiri na ikumbukwe hao matajiri wanao run show huwez kuwakuta ktk list za Forbes Ila hao akina Gates,Elon,Jeff Bezon na wengine wengi ni wafanyakazi wanaosimamia na kuwezeshwa na hao wasiojulikana,JFK pia aliwalalamikia vile vile hadi mauti yanamkuta.Duniani Kuna Siri ambazo hatutakaa tufahamu kamwe hata hao Wachache wanaojifahamu hawawafahamu wengine wa ndani ndani milele na milele so BT anaeza kuwa sehemu ya juu tuu na yeye pia Yuko monitored na Kuna mengine hayajui kbs imagine wanaomiliki Federal reserve how powerful they are? Mi nadhani huu Ulimwengu unamilikiwa na Watu Wachache Sana na ndiyo hao wametengeneza hizi deep state za kibara,Kanda na taifa,jiulize Kama vyombo vya Ulinzi na usalama vinaripoti kwa ceo je ceo anaripoti kweli kwa vibwengo Kama asemavyo ndugu yetu? samurai Kuna Siri ndani ya Siri na ndani ya ile Siri ya ndani tena Kuna Siri nyingine ndani ndani uko sirini ambao kimuundo Inaonekana ni Watu Wachache Sana wenye mrengo unaofanana kwa kila kitu uko sirini ndani ndani kbs.
The MoNA kama 1st CEO kwamba hakuijua yote,
1. je Mwasisi wa dip steti Tanzania ni nani?
2. Dip steti ilianzishwa mwaka gani Tanzania?
3. Malengo ya kuanzishwa Tanzania ni yapi?
Mkuu umeeleweka vizuri sana kwa upande wangu.Nijibu kwa fikra zangu. Wengine watajazia nyama.
Nianze kwa kusema; kuna mambo matatu yanaongoza dunia,
1. Dini.
2. Siasa.
3. Uchumi.
Kwenye angle hizi tatu, ndipo hasa dip stet imejikita.
Sasa yenyewe dip stet = PEOPLE, POWER & AUTHORITY.
Hivyo tunaona hapo dip steti ni watu wenye nguvu na mamlaka katika kuongoza nyanja tatu zinazoongoza dunia, dini, siasa na uchumi. Kwa muktadha huu tunaweza kuona dip steti ina historia ndefu kwan vitu hivi vilikuwepo tangu enzi.
Muasisi wa kampuni hii sio wa kwanza kutaka uhuru wa kampuni hii, wapo wengi wa makabila walipigana kutaka kuutokomeza utawala ulioenda kinyume na mila zao. Hapa ni zama za ma chief, lkn walishindwa kwa sababu ya kuzidiwa mambo kadhaa.
Muasisi wa kampuni alikuta tayari kuna wana harakati wakiwa wanaipigania kampuni kupata uhuru. Huku hasa ndio dip steti ilianza kwani watu hawa walikuwa na nguvu na mamlaka (ki uchumi, kisiasa na kidini).
Kwa Kampuni yetu dip steti ilianza kuundika kwa muasisi wa kampuni kwan alitengeneza mifumo kadhaa ya kuisimamia kampuni, mpaka kukabidhiwa kampuni hii kulikuwa bado na uangalizi wa wakoloni wale. Sasa wale aliowakuta wakipambania uhuru wa kampuni tayari wana nguvu na mamlaka pia. Hivyo indirectly wakawa miongoni mwa dip steti pamoja na muasisi na wawakilishi wa wakoloni. Ndipo tunakutana dip stet ndani ya dip steti ndani ya dip steti.
Hivyo swali lako namba moja naweza kusema.
Dip steti ilijianzisha yenyewe automatic kutokana na mahitaji ya kampuni na kwa wakati huo ili kuilinda kampuni ndipo taasisi rasmi zikaanzishwa mpka kwa tulipofikia leo hii.
Kwan toka kabla hata ya ujio wa Yesu Kristo na Mtume Muhammad dip steti ilikuwepo, kwa kuangali nyanja tatu hizo huko juu.
Kupata data hizi ni ngumu kwa kampuni yetu maana ni mambo nyeti haswa ndani ya kampuni.
Kwa muktadha huo mkuu, muasisi haswa wa dip stet simjui kusema ni fulani ila kuna kundi la watu ndilo naweza kusema ni waasisi, ambao walikuwepo kipindi cha ukoloni na kipindi cha uhuru. Baada ya huru
Najua wapo wenye taarifa rasmi, ila hizi zangu ni kunyofoa nyofoa tu.
Malengo ya dip steti ni kuilinda kampuni kiuchumi, kisiasa na ,kuhakikisha kuna usalama tele. Bahati mbaya sana mifumo ya dip stet imehitilafiana kiasi imekosa nguvu iliyokuwa nayo. Ila kwa mbaaaaali imeanza kurudi kwenye mikao yake ya awali. Mambo ni mengi sana yanafanyika ya kiusalama mipakani ila inakuwa siri ili kuondoa sintofahamu kwa wateja wa kampuni.
Kwa ukanda wa maziwa makuu kampuni yetu ina nguvu sana ndio maana Pk anahaha kumwangusha BT, maana ni mwiba kwake toka enzi. Hii ndio moja ya kazi ya dip steti.
Kama sijakujibu nisamehe kuu. Watakuja kutujibu kwa data vizuri.
Ahsante
Kama kumtaja jambazi kwa jina lake akiwa kazini kwake.. Eti utegee kwa kumjua atakuacha! No lazima aanze na wewe!Wanasema "your line is your boundaries" ni bora kujua mengi kuliko kujua kila kitu ili kubaki Salama na kuishi kwa Amani.
Am off[emoji120]
Whaaooh..😃!! What a surprise 🤗Hi guys!! [emoji102]
Lini utakuja teeena hapa rafiki .Hi guys!! [emoji102]
Mkuu umeeleweka vizuri sana kwa upande wangu.
Nina wasiwasi sana na wale wazee wa mzizima aliokua akizungumza nao kila mwezi mr bt kwamba wanaweza kuwa moja wapo wa deep.
Ikumbukwe hao wazee wa mzizima chimbuko lao ni enzi za mwasisi, kipindi hicho the founder kila alichokuwa akifanya lazima ilikua aripotishe kwao, mfano mzuri mapigano yale dhidi ya nduli.
Pengine hao wazee waliundwa na mwasisi,au hao wazee walijuunda, maana mwasisi alikuja tu mjini kutokea huko vijijini akakuta kuna wazee wa mji wako na harakati zao nao wakamwingiza kwenye harakati, japo aliwazidi kete kwa mujibu wa nyuzi za memba mwenzetu hapa jukwaani.
Hao wazee ukiachilia mbali kuzaliwa mjini, pia walikuwa na nguvu ya kiuchumi walikua na nguvu ya kidini na pia walikua na nguvu ya kiroho haswa upande wa pili wa imani, tukumbuke ile taa inayozungushwa ilipo anzia.
Kwa hiyo tunaweza kusema hao wazee ni moja wapo ya ki segment katika depstate.
Kama kumtaja jambazi kwa jina lake akiwa kazini kwake.. Eti utegee kwa kumjua atakuacha! No lazima aanze na wewe!
Aiseee hatari sanaEnhee..!!! Huko ni dip stet ndani ya dip stet ndani ya dip stet.
Unaweza kuona umeimaster kumbe upo hatua za awali kuielewa. Ni li dumbwana kweli.
Yes BT level alizofikia ni kubwa sana kwenye dip stet, japo hajafikia sehemu ya maamuzi binafsi. Ndicho kilichomfelishs late CEO yeye alideal na BT direct, badala kuusoma mchezo wote na mfumo wa BT. BT amekuwa mvumilivu toka enzi hizo za muasisi ili tu apate kuijua kampuni.
Yaani dip steti ni kama pyramid hivi mfumo wake.
The MoNA hivi mzee ni nani?Hawezi kukosa, alishaingia anga za BT mara kadhaa akaona kila alifanyalo BT yupo hapo.
Akapunguza speed, na kwa ushauri wa MZEE akampa plans kadhaa za kudeal naye na sio kama Sasha alivyokuwa anataka.
Kukosekana ni ngumu.