Kwanza tufahamu Muundo wa deep state ni Siri na hakuna anayejua Muundo wao hata Putin aliwahi kuwalalamikia nanukuu "Inaonekana Kuna Watu wenye nguvu Kubwa nyuma ya Serikali zote Duniani na ndiyo wanaamua Mustakabali wetu" kwa mawazo ya haraka tu hawa deep state wapo Kama kabeji au kitunguu ukiwa ganda la juu ujue Kuna ganda lingine na lingine na lingine hivyo hauwezi kuwafahamu hata siku moja mbaya zaidi hawana utambulisho na kumbuka miongoni mwao ni wafanyabiashara matajiri na ikumbukwe hao matajiri wanao run show huwez kuwakuta ktk list za Forbes Ila hao akina Gates,Elon,Jeff Bezon na wengine wengi ni wafanyakazi wanaosimamia na kuwezeshwa na hao wasiojulikana,JFK pia aliwalalamikia vile vile hadi mauti yanamkuta.Duniani Kuna Siri ambazo hatutakaa tufahamu kamwe hata hao Wachache wanaojifahamu hawawafahamu wengine wa ndani ndani milele na milele so Unaeza kuwa sehemu ya juu tuu na pia ukawa monitored na Kuna mengine hayajui kbs imagine wanaomiliki Federal reserve how powerful they are? Mi nadhani huu Ulimwengu unamilikiwa na Watu Wachache Sana na ndiyo hao wametengeneza hizi deep state za kibara,Kanda na taifa,jiulize Kama vyombo vya Ulinzi na usalama vinaripoti kwa ceo je ceo anaripoti kweli kwa vibwengo Kama asemavyo ndugu yetu? Kuna Siri ndani ya Siri na ndani ya ile Siri ya ndani tena Kuna Siri nyingine ndani ndani uko sirini ambao kimuundo Inaonekana ni Watu Wachache Sana wenye mrengo unaofanana kwa kila kitu uko sirini ndani ndani kbs.