ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,020
- 2,716
It's too late
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ramli hapa tukukosoe"Napiga ramli kwa kile kitakachokuja Disemba katika sehemu ya simulizi yetu pendwa"
Tunasubiri ramli
Hahaha, tunamsubiri na ramli
We jamaa [emoji38] eti branch manager ...Branch Manager aliyekuwa maarufu, mwenye nguvu, na mamlaka ya kidola, na kipenzi cha the old CEO wa kampuni aibuliwa tena kivingine na kupewa majukumu mapya na tofauti kabisa na yale ya awali na the current CEO.
Ujio wa the current CEO ulimfanya apotee kidogo katika ulingo wa kisiasa wa kampuni, na inasemekana alipoteza marafiki wengi sana kwa kile kilichoonekana wazi ni kumkwepa kutokana na tuhuma za mikono yake kujaa dhuluma juu damu za watu wengi wasiokuwa na hatia.
Napiga ramli kwa kile kitakachokuja Disemba katika sehemu ya simulizi yetu pendwa.
Chai kwa mlendaMishahara ya part-time lecturers iwe na bands mbili.
Band ya kwanza iwe 25% ya monthly salary ya full-time lecturers.
Na band ya pili iwe 50% ya monthly salary ya full-time lecturers.
Na mikataba yao iwe one year renewable depending on kama wataendelea kuhitajiwa.
Wanaweza wawe au wasiwe pensionable au na wawe au wasiwe na health insurance.
Isiwe kama sasa ambapo wanalipwa 20,000 - 30,000 TZS per hour of teaching, plus a transport allowance.
Hii ya sasa ina wafanya part-time lecturers wawe na kipato kidogo kwa mwezi.
Tukifuata mfumo huu mpya, tutapunguza shortage ya lecturers, na tuta improve quality ya lecturers, na quality of higher education in Tanzania.
Pia tuta improve standard of living ya part-time lecturers.
Huu muundo unaweza kutumika kwa part-time employees/workers wa maeneo na sekta nyingine za umma na binafsi nchini, na barani Afrika, na duniani (kwenye nchi ambazo haupo).
Ni vizuri serikali, na higher education institutions, zika implement huu mfumo mpya wa kuwalipa part-time lecturers, kabla ya mwaka huu kuisha.
Kwani tangu lini nzi WA KIJANI wanategemea kura kushinda. Kuna force na mahera hata chadomo wamuwekee OBAMA hawawezi shida. MI naona kama maza yeye ndio anatafuta mtu WA kumfanyia kazi za malyamungu maana yeye hawezi. Anataka mtu ambaye anaweza watisha huko chichim na wakamuogopa. It's wild card for her to defeat her opponents kwenye kikampuni Chao cha KIJANI nothing more nothing less.Bashite is a wildcard kwa CCM. Kwa hali waliyonayo sasa, ushawiahi wao kanda ya ziwa ni mdogo kupita kiasi. Hii ni kafara waliyotakiwa kuitoa ili kurudisha ushawiahi wao kwenye hii kanda yenye wapiga kura wengi.
And most importantly, Bashite alikua kiungo mchezeshaji wa Sukuma gang. Kumhamisha kambi, ni kuidhoofisha kabisa hii gang iliyokua inatamani kurudi nyumba nyeupe!
It's not love, it's not friendship. It's just political science!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dp word dah[emoji119]Yaani kuna watu wawili, Mwl Mwakasege na TumainiEl, Mwl Mwakasege yeye alisema litatokea jambo ambalo litapingwa na pande zote yaani halijulikani kama ni zuri au baya ila litapigwa kwa mazuri yake na mabaya yake ila hapana suluhisho alisisitiza watu wasali. Tumaini yeye alisema kuna jambo kubwa mwezi wa nane laenda kutokea.
Kwani tangu lini nzi WA KIJANI wanategemea kura kushinda. Kuna force na mahera hata chadomo wamuwekee OBAMA hawawezi shida. MI naona kama maza yeye ndio anatafuta mtu WA kumfanyia kazi za malyamungu maana yeye hawezi. Anataka mtu ambaye anaweza watisha huko chichim na wakamuogopa. It's wild card for her to defeat her opponents kwenye kikampuni Chao cha KIJANI nothing more nothing less.
Na mpk sasa aliyoandika ni kama yametimiaBado siku mbili Nondo za yoga zishushwe ndani ya Mwezi wa November
Kwamba current CEO kamzidi kete Born Town? Sidhani!Na mpk sasa aliyoandika ni kama yametimia