Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Nimeuliza tu, maana kuna mtu kaota ndoto anaumwa, ndoto nyingine saa nyingine huwa kweli nikataka kujua, je yuko mzima?
Kama JAL 1 is done and 2 and 3 are next,ndoto yaweza kuwa ya kweli kama yeye 2 or 3!!

Rolinga anasema alinde sana moyo coz ya usaliti Toka Kwa viongozi wenzake!!
 
Ukiingia kwenye channel yake, pia ameweka shuhuda za watu wengine waliothibitishiwa ujumbe huo huo.

Sasa issue ya dar ilivyo kubwa kuangamizwa yote ni issue serious.

Mimi niliuliza nikajibiwa, uliza nawe utajibiwa na baada ya hapo tuwasaidie ndugu na jamaa wa mji huo kupuuza, ikiwa Si Kweli, au kuwasisitiza wahame ikiwa ni Kweli.

UBARIKIWE.
Hahahaha Kuna mwingine anajiita nabii Moses alisema Dar itafurikishwa yote na maji ifikapo March 2024 [emoji44]tunaendelea kusubiri.
 
Back
Top Bottom