Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Soma (Isaiah 38:1-22)
Hapo inaelezea Nabii Isaya kumfuata Mfalme Hezekia na kumwambia atakufa kwa ugonjwa alio nao atengeneze mambo ya nyumbani mwake,
Na Hezekiah mfalme alifanya maombi kwa Mungu wake na akasikia maombi yake, hakufa kwa ugonjwa ule na kipindi kile, Mungu akamwongezea miaka.
Ila sasa Mtumishi Rabbon jamaa yetu kwenye unabii wake juu ya Dar es Salaam kuangamia, alikuwa anawapinga sana watumishi wa Mungu au waumini kutubu kwa ajili ya Dar es Salaam, akisema mlango wa rehema umefungwa.
Maana yake ni nini?
Iwe mvua iwe jua unabii wake unaenda kutimia.
So deadline yake ni 20 May 2024, anaenda kuaibika mtu, asije kutafuta sababu yoyote ile iwayo kwa sababu kajipa uhakika na kujiamini.
Rabboni soma Kum 18:20-22.
 
Hapo inaelezea Nabii Isaya kumfuata Mfalme Hezekia na kumwambia atakufa kwa ugonjwa alio nao atengeneze mambo ya nyumbani mwake,
Na Hezekiah mfalme walifanya maombi kwa Mungu wake na hakufa kipindi kile, Mungu akamwongezea miaka.
Ila sasa Mtumishi Rabbon jamaa yetu kwenye unabii wake juu ya Dar es Salaam kuangamia, alikuwa anawapanga sana watumishi wa Mungu au waumini kutubu kwa ajili ya Dar es Salaam, akisema mlango wa rehema umefungwa.
Maana yake ni nini?
Iwe mvua iwe jua unabii wake unaenda kutimia.
So deadline yake ni 20 May 2024, anaenda kuaibika mtu, asije kutafuta sababu yoyote ile iwayo kwa sababu kajipa uhakika na kujiamini.
Rabboni soma Kum 18:20-22.
Umeelewaje nilichokwambia usome?
 
Umeelewaje nilichokwambia usome?
Umeelewaje nilichokwambia usome?
Isaya alitoa unabii kwa Mfalme kuwa ugonjwa unaomsumbua utamuua pia akampa na ushauri atengeneze mambo ya nyumbani mwake mfalme.
Mfalme walitengeneza kwa kumwomba Mungu aliye mtuma Isaya, unabii hakutumia.
Ila tukija kwa mtu wenu mwenye kutabiri kuhusu Dar es Salaam yuko tofauti........
 
Nabii alipokuja Kwa mara ya kwanza alimwambia utakufa.

Kutengeneza mambo ya nyumbani mwake ni Kugawa URITHI, Kutoa maelekezo ya mwisho Kwa familia na watu anaowaongoza.

Nabii hakumwambia omba, Mungu alimwambia kamwambie atakufa, hakumwambia, akiomba atapona.

Wazo la kutubu na kuomba lilikuja Kwa mfalme, ni maamuzi binafsi.

Neno linasema, baada ya kuomba, Mungu anamwambia Nabii, Rudi tena Kwa mfalme, mwambie hatakufa, nimemwongezea miaka 15, hatakufa Kwa ugonjwa anaoumwa.

Swali ni je, Nabii Isaya alitoa unabii wa uongo?

Nasubiri jibu.
 
Uko sawa,

Na ndiye ametabiri Mr Tabasamu hatoboi December,

Tusubiri.
Ikiwekeza kwa watu , kila jambo ni je pesi, kuna watu dunia hii wamewekeza kwenye mitandao mikubwa ,na hawa ni kifo cha Mungu tu kitawaondoa na sio kwa mkono wa binadam , naishia hapa
 
Ikiwekeza kwa watu , kila jambo ni je pesi, kuna watu dunia hii wamewekeza kwenye mitandao mikubwa ,na hawa ni kifo cha Mungu tu kitawaondoa na sio kwa mkono wa binadam , naishia hapa
Hivi Tabasamu kwenye vyama vya siri yuko familia ipi?
Je ana degrees gapi ndani ya Illuminat?
 
Swali gum kwangu hili mkuu jibu lake sina
Mwanachama yetote wa "The Club of Rome" huyo lazima huwa ni pia ni wa 'Illuminati" hawa huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi zao na za kikanda.

Hata wakitoka madarakani bado huwa wana majukumu ya kudumu ya kufanya kuendana na matakwa ya wakati ya siasa za nchi zao, za kikanda, na pia hata za kidunia. Mtanzania aliyekuwa na "degree" za juu kidogo ni Mzee wa Lupaso, ila huyu [emoji118] sina uhakika sana naye, ila taarifa za mitandandao ya Kenya zinasema ameshafikia tayari ya kumi.
 
Mwanachama yetote wa "The Club of Rome" huyo lazima huwa ni pia ni wa 'Illuminati" hawa huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi zao na za kikanda. Hata wakitoka madarakani bado huwa wana majukumu ya kudumu ya kufanya kuendana na matakwa ya wakati ya siasa za nchi zao, za kikanda, na pia hata za kidunia.
Thanks mkuu kwa kunielimisha
 
Ila kama hutojali mkuu naomba fafanua hapo ,THE CLUB OF ROME, ipo vipi hii, na watu hujiungaje huko ? Thanks
 
Ni nani huyu uzi wake haufunguki
 
Back
Top Bottom