Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

ni kweli sababu ya ile 3% na mapungufu mengineyo lkn still ukilinganisha na wengine waliotupiga blah blah za sijui uchumi wa gesi leo hii sioni popote kwenye data za kiuchumi ulioitwa uchumi wa gesi unachangia asilimia ngapi kwenye pato la taifa, dhahabu mpaka leo inashindana na utalii kwa miaka mingi dhahabu ilikuwa namba moja kwenye mapato hivyo kwangu mimi bado ni success story hata kama ulivyosema yeye mwenyewe hakuona hivyo, the fact that dhahabu inaongoza kwenye pato la taifa inatosha sana kumpa sifa zake …

Wengine wapo binafsi sanaaaa”,. Kuliko kampuni kunufaika. Kwa BM yes kuna mahali alijiwekezea yeye kama yeye ila aliikumbuka kampuni kwa mapana sana bila kujilimbikizia kwa kizazi chake cha sasa na vizazi vijavyo.

Kuna kautamaduni kanajengeka ambacho hakakuwepo siku hizo, kujilimbikizia kwa ajili ya familia zaidi bila kujali wengine.

JK wa 2, na NEW CEO wapo busy sana kujiwekezea binafsi nje ya kampuni, ndio maana BM bado anaoneka alilete mapinduzi makubwa sana. Kaanzisha taasisi zilizomrahisishia utendaji kazi wake enzi za utawala wake na waliomfuata.

By gone aliliwazia mema taifa japo in a very wrong ways sometimes. Alijuwa wailao kampuni ni akina nani na wanakula vipi ila alifeli kuchagua very smart people ku execute mission zake na vission zake zinufaishe kampuni.
 
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike

Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!

Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.

Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!

Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!

Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!

The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!

Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!

Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!

Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!

Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!

Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!

The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?

Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!

The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!

Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!

Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!

Let see will the new boss stick to the plan? or...


Itaendelea.......


Guess the company!??

Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...

Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
The Old the Wine. ....the fine it becomes
 
Bado BT na genge lake. Sasa new ceo anatakiwa amalizane nao kwa kuwalambisha udongo kama anataka kufanikiwa. Tena wanavyochukiwa sasa awa eliminate wote ili awe huru. Akiwaacha watatumia hela walizoiba. Au awarudishe na amalizane nao
laiti ungejua! bora ukae kimya tu
 
Screenshot_20240810-153736.png

Nime ikuta sehemu mwenye info anaweza kutupa ufafanuzi Zaid Nini kinaendelea...
 
Back
Top Bottom