Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
Juzi nilianzisha thread ikiongelea hii ishu. Wengi wakasema ni uongo. Sasa sijui ni wao ndio wanajidanganya maana naona ni ishu iliyo serious sana.
Unaweza kuipata hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/136549-je-ni-kweli.html
Leo nimekutana na hii trailer ya Documentary itakayotoka mwishoni mwa mwaka huu.
Nimeangalia na kushikwa na huzuni sana.
Kuna rafiki yangu wa karibu amepost kwenye facebook baada ya kuona hii documentary na kusema:
"i remember my auntie sayin, make sure u marry a light skin lady, your too dark and you dont want your children to be dark like you"
Je Waafrika tuna shida gani? Mbona tunajidharau?
[video=vimeo;24155797]http://vimeo.com/24155797[/video]