Kweli jamaa amepitiliza duh!
muhindi namchukia mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli jamaa amepitiliza duh!
Kwa hiyo unavyosema matatizo una maana kutojiamini au matatizo gani haswa?
Inawezekana na lenyewe likawa ni tatizo..Angalia leo jinsi wahindi na wachina wanavyotutawala bila kutumia nguvu. wanatumia kalamu tu..
Ni suala la wataalamu wakatuambia tuna matatizo gani? na kama hatuna matatizo, basi watupe sababu kwa nini tuko nyuma kwenye mambo mengi
Hebu angalia hii sehemu ya katikati ya jiji letu pendwa la DSM, na sehemu kubwa ni ilipangwa na wazungu
![]()
Lakini angalia huku ambako tumefanya mipango miji, sisi wazawa, ni kichekesho, Dar hiyo hiyo.. swali liko pale pale , kwa nini hivi, na sio kama hapo juu?
![]()
dahhhh Chapakazi umenifanya niwaze kidogo
unajua kila kitu kibaya ni cheusi na kila kitu kizuri ni cheupe..
mfano mdogo tu nguo nyeusi msiba, nyeupe harusi, giza wengi hawapendi
mwanga kila mtu anafurahi like (pimpo jina halisi ni white headslakini sasa zinaitwa black heads)
Nadhani vitu kama hivyo vidogo vidogo ndivyo enda kuwa vikubwa zaidi..
Nimeumbwa kwa mfano wa Mungu ninayemheshimu kuliko mwanadamu yeyote,ame tupa uwezo wa kufikiri,wa kufanya maamuzi na viungo vinavyofafanana na hao light skinned....ila kuna mambo mengi ambayo ninayafurahia kwa namna ambayo walio weupe wengi wameweza kufanya na each day najifunza kutoka kwao kwa ajili ya manufaa yangu,ya jamii yangu.....!!
dahhhh Chapakazi umenifanya niwaze kidogo
unajua kila kitu kibaya ni cheusi na kila kitu kizuri ni cheupe..
mfano mdogo tu nguo nyeusi msiba, nyeupe harusi, giza wengi hawapendi
mwanga kila mtu anafurahi like (pimpo jina halisi ni white headslakini sasa zinaitwa black heads)
Nadhani vitu kama hivyo vidogo vidogo ndivyo enda kuwa vikubwa zaidi..
afrodenzi
nakushauri ungejielimisha
zaidi kuhusu general knowledge
na hasa other cultures ukiacha european culture
wahindi na watu wa korea na asia nguo ya msiba ni nyeupe
mh, picha ya kwanza haionekani!
Unajua kuweza kufanya kitu, lazima uelewe sababu ya kufanya! Kuna ku-cram kitu ufaulu mtihani na kuna kuelewa kitu kwa undani. Tatizo watu wengi hawana uelewa wa kitu kwa ndani. Mtu anasoma town planning, lakini application sifuri. Mtu anashindwa kuelewa umuhimu wa kuwa na town planning maana ali-cram na kupata degree! Matokeo yake akipewa kazi, anaishi kuuza plot kipumbavu. Hilo ndio tatizo kubwa!
Siku zote mimi huwa nasema tupo nyuma ya nchi zilizoendelea kwa miaka kama 500 ivi. Kuna vitu simple sana vinatushinda, ambavyo ndio ujenzi wa maendeleo. Kuna kitu kama kusema ukweli. Hilo ni tatizo bongo. Kufanya kazi yako kwa bidii, hilo la pili. Hakuna shortcut to development! Development ni ngazi ambayo lazima tupite kwenye kila step.
Tukiweza kubadilisha hii mindset tutaweza kuona mbali. Swali ni wangapi wanataka kuona mbali?
race issue is like politics where propaganda is the order of the day. black for real is beautiful. the problem comes on how to care our healths and skin so as to maintain the shiny glowing look. a white person knows very well how to apply strategic weapons of mass humiliation against blacks, and the blacks sadly give in. the result is inferiority and surrender. i wish blacks were super powers so that we could see how this skin color issue is handled
Kwa bongo yetu hata kama town planner atuzuiwa ujengwaji wa kitu flani kwa vile kitaharibu plan ya mji, kama anayetaka kujenga either ana nguvu ya fedha au ni mtu serikalini basi unakuta anajenga anavyotaka yeye na sio kuangalia plan ya mji inasemaje.
Ni mara ngapi tumesikia viwanja vilivyotengwa maalum kwa ajili ya michezo au kupumzikia vinataifishwa na wenye nazo na kujenga majumba shaghara baghala?
Sometimes sisi waafrica tunafanya mambo yanayopelekea kudharauliwa, hapo ngozi nyeusi haihusiki bali kukosa uzalendo.