Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
- Thread starter
-
- #41
Ndio maana zinaitwa dark humor ni hatari [emoji3]Hahah hauko sawa.... hivi ukiwa unacheka hizi memes uko normal?,[emoji23]
Mkuu huu uzi nadhani utakuja kukubaliana nami kwamba utaibua vitu nje ya line unayoitaka...[emoji1787][emoji1787]View attachment 2286871
Normal kabisa [emoji3][emoji3]Hahah hauko sawa.... hivi ukiwa unacheka hizi memes uko normal?,[emoji23]
Nishatoa onyo kabisa kwamba hii ni dark comedy [emoji3][emoji3]Mkuu huu uzi nadhani utakuja kukubaliana nami kwamba utaibua vitu nje ya line unayoitaka...
Nimeshaona dalili tayari kwa baadhi ya posts.
Stress zaidi
Impregnating a street girl so she can have something in her stomach