Dark wealth, dark path, is the only way to rich

Kuna riwaya moja ninayo hapa inaitwa the godfather . Page ya kwanza mwandishi wake anaanza na nukuu inayosema' behind every great fortune there is crime' . Na hii nukuu huyu mwandishi aliichukua kwa mwanafalsafa wa karne ya 18-19 aliyeitwa balzac.
 
dark side imeshikilia dunia (mifumo iliyowekwa na binadamu)...Mungu aliumba ulimwengu siyo dunia.

Ukitaka utajiri kwa kutumia light side, lazima ujue jinsi universe inavyofanya kazi (laws of universe)
 
Waambie hawa watu wa riboboboboringoborasaka rindorobooobobobo saka..
 
Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo

To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza kupata utajiri na mali za dunia hii na kama wasemavyo, money is power.

Kama uongo waulize wanaojaza crusade za maombi kisingizio cha mkesha, wafanyabiashara wakubwa, wote hao dark kingdom ndio back up yao.

And am ready to ascend to that kingdom.

"Kisha The Devil akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia."

Akamfukuza..ila ajabu ni kwamba hakumpinga kauli yake kwamba mali na utajiri ni vya kwake.
Washirikina wengi ni masikini wa kutupwa. Utajiri wa makafara upo japo ni wa mateso ni siri yao hao matajiri.
 
Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo

To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza kupata utajiri na mali za dunia hii na kama wasemavyo, money is power.

Kama uongo waulize wanaojaza crusade za maombi kisingizio cha mkesha, wafanyabiashara wakubwa, wote hao dark kingdom ndio back up yao.

And am ready to ascend to that kingdom.

"Kisha The Devil akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia."

Akamfukuza..ila ajabu ni kwamba hakumpinga kauli yake kwamba mali na utajiri ni vya kwake.
Njoo Dark Web uyajenge.....
Huku kila kitu kinauzika, hata kuvuna mifupa ya mfu ukiifukua, inatumika kutengeneza meno bandia...ni pesa ndefuuu.....
Pia kuvuna figo na kucha za mfu ukiwahi mara tu baada ya kuzikwa....
 
Mkija kuelewa kuwa shetani ni kiumbe tu wa Mungu na jinsi ya kupata utajiri kwa namna halali mtafurahi.
Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo

To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza kupata utajiri na mali za dunia hii na kama wasemavyo, money is power.

Kama uongo waulize wanaojaza crusade za maombi kisingizio cha mkesha, wafanyabiashara wakubwa, wote hao dark kingdom ndio back up yao.

And am ready to ascend to that kingdom.

"Kisha The Devil akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia."

Akamfukuza..ila ajabu ni kwamba hakumpinga kauli yake kwamba mali na utajiri ni vya kwake.

Kuna ukweli kwenye hili na ndio maana utajiri huwa una siri nzito sana ambayo kuijua ni ngumu. Na biashara haram

Kweli mkuu.
 
Utalia ww acha ujinga......kafanye kazi kwa bidii katafute maarifa mapya utafanikiwa shetani ni mbaya sana
Hizo kazi tumefanya sana. Unalima eka 10 unaambulia hela ya mbolea, hata mbegu tu hairudi. Lak8ni waliopita huko tunawaona wanalima eka 5 wanavuna mara tano yetu?

Acha uchoyo, wewe ni mmoja wao ila unatuzuia tusipate.
 
Watakuambia sasa mkuu? Hapa wanajifanya malaika wa bwana..
 
Pesa/Nguvu/ Heshima na fahari zote zilizopo duniani na hata huyo shetani mwenyewe Ni Mali ya Bwana(MUNGU).

Na nguvu ya Utajiri inatokana na nguvu ya kiroho ( nguvu halisi isiyoonekana ifanyayo kazi) ambayo mtu husika amekuwa connected nayo.. nakuitumikia kwa moyo wote.

Uko refer mstari huo wa biblia kwamba ukinisujudia , nitakupa milki zote za ulimwengu huu Kuna maana kubwa lakini Ni sawa na kuchagua kumuomba Mali Yusuf bakhersa na wakati una access na bakhersa mwenyewe.
Mfano tu.

Kila la kheri.
Je ukifika mbinguni ukute Shetani ndio Mungu.
 
Back
Top Bottom