Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 15,416 Reaction score 22,334 Mar 8, 2025 #361 Tresor Mandala said: Mkuu ni kweli usemalo nina device special ya kuingia huko tofauti na device nayotumia huku, kule ni balaa Click to expand... Ulikuta nini ...mimi nataka kuingia na hii device yangu....
Tresor Mandala said: Mkuu ni kweli usemalo nina device special ya kuingia huko tofauti na device nayotumia huku, kule ni balaa Click to expand... Ulikuta nini ...mimi nataka kuingia na hii device yangu....
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Mar 8, 2025 #362 Lwiva said: Ulikuta nini ...mimi nataka kuingia na hii device yangu.... Click to expand... Kabla ya kuingia,jiridhe hata Ku google ukajua Kuna nn ili ujue unaenda kufanya nn
Lwiva said: Ulikuta nini ...mimi nataka kuingia na hii device yangu.... Click to expand... Kabla ya kuingia,jiridhe hata Ku google ukajua Kuna nn ili ujue unaenda kufanya nn
I implicit memory JF-Expert Member Joined Nov 14, 2024 Posts 806 Reaction score 926 Mar 8, 2025 #363 Sultan MackJoe Khalifa said: umeishia uwani hukuzama ndani kabisa kule kwa bed room. Click to expand... Teh teh tehee, uenda hata mlango wa sebule hakuugusa,wala kupiga hodi ili wenyewe wamfungulie!!!
Sultan MackJoe Khalifa said: umeishia uwani hukuzama ndani kabisa kule kwa bed room. Click to expand... Teh teh tehee, uenda hata mlango wa sebule hakuugusa,wala kupiga hodi ili wenyewe wamfungulie!!!
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Mar 8, 2025 #364 Lwiva said: Ulikuta nini ...mimi nataka kuingia na hii device yangu.... Click to expand... wewe makelele mengi humu kumbe ni fwamba tu..... hata hujui huko kuna nini na unataka kufanya nini huko kaa kwa kutulia..
Lwiva said: Ulikuta nini ...mimi nataka kuingia na hii device yangu.... Click to expand... wewe makelele mengi humu kumbe ni fwamba tu..... hata hujui huko kuna nini na unataka kufanya nini huko kaa kwa kutulia..
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,596 Reaction score 6,023 Mar 9, 2025 #365 Superbug said: Tanzania Tea Packers mdalasini iliki mchaichai nk Click to expand... Tatepa