Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Stuxnet ni virus iliyotengenezwa na Mossad kwa ajili ya ku disable mitambo/ computer za kurutubisha uranium enzi za Muhammad Ahmedinajad kati ya mwaka 2010-12.Asante kwa kuongea lugha yangu, nilikuwa najizuia
Wewe tutusa full mziki, nakuuliza unajua stuxnet ni nini, unabwabwaja tu mbuzi mweusi
Haya niambie hio stuxnet ilitumwa kufanya kazi gani? na ilifanyaje hiyo kazi ? , au unadhani kama viluwiluwi waliojaa kwenye simu yako kwa kuangalia mitandao ya ngono
Turudi kwenye upupu uliouliza, unataka uletewe vitu ulivyonunua Darkweb Kimara temboni? hapa tayar wewe umepambanua ni mbung'o mwenye malale.
Hao kina Alshabab huko Msumbiji unadhani wananunua na wanaletewaje silaha? na wakala wa mizigo au sio mpaka Kimara?
Eti uende East Europe kununua silaha, wewe kweli akili imejaa tope, niishie hapa nasubiri upupu mwingine utakaoandika
Tatizo wewe kenge unajifanya mjuaji kumbe Fala tu kutoka Kazuramimba