Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
We kibuyu tulia waungwana waendelee kutiririka kwanza, kuna taarifa zimenivutia hapa.Uzi unatakiwa ufungwe hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kibuyu tulia waungwana waendelee kutiririka kwanza, kuna taarifa zimenivutia hapa.Uzi unatakiwa ufungwe hapa.
Bank iliyotoa kadi wanaweza track ATM machine na location uliyotumia kuwithdraw pesaOkay hapo sawa hawa jamaa ni noma Sana,sasa mfano aliyeibiwa taarifa za card yupo Iceland atamdakaje anaye withdraw Hela Kwa ATM akiwa na kadi ya mchongo akiwa kigoma na pengine anaingia ATM akiwa kaficha sura?
Kawaza pesa za kula bata wavuvi 😹Unatafuta jela,..yaani ufanye biashara Darkweb Hela uweke kwenye account yako??mkuu, jifunze zaidi kuhusu darkweb,utapewa kesi mbaya ,mauaji,madawa, human trafficking,unaweza kudhani utani,ila jichanganye..
Mhmm!! Mbona hatari sana?!!Ngono za watoto
Silaha za bei rahisi
Visa feki za nchi zote duniani
Leseni feki nchi zote Duniani
Kawaza pesa za kula bata wavuvi 😹
Mhmm!! Km vipi mkuuHuko kn kila kitu ambacho hukijui huko viko na vinalindwa kwa nguvu zote usije kujichanganya hutoamini ..nasema kila kitu huko vipo na vinapatikana ni wewe tu
Nenda tu mkuu ukajionee ya nn uhadithiweMhmm!! Km vipi mkuu
😂😂😂😂Yani mtu anakadi yenye dola 1000( sawa na shilingi 2, 300, 000/-) halafu mtu huyohuyo atafute wateja online kupitia dark web aanze kuuza kwa dola tanotano sawa na shilingi elfu kumi na moja 😁😁😁 dah inaingiaje akilini hii wataalamu wa darkweb?
😂😂😂 Yani pesa za magumashi utake kuzifanya halali, hii ningeshangaa.!!Bata atalia segerea au Guantanamo bay
Toa mfano mmoja basi mkuuNenda tu mkuu ukajionee ya nn uhadithiwe
Hao watoto ndio wamenihuzunisha.Kuna sites huingii kizembe mpaka upate link Kwa insider na ufanye subscription , mfano WA sites wanazouza porns za watoto wanaofirwa na kuchinjwa live , unafikiri hizi porn hazipo ? .
Mfano Marekani , Canada na Europe Malaki ya watoto wadogo wanapoteza kila mwaka na haijulikani wameenda wapi
Feds WA FBI , Interpol nk wapo wamezagaa humo kila mahala kusniff criminals , unafikiri hao criminals watajiexpose kizembe ,tena Kwa crime nzito kama hizo ?
Ni mpaka ufanye subscription na ni pesa kubwa tu
Kuna zingine kama hidden wiki unaingia direct Tu bila subscrption
Darkweb ni kama bahari , na sites mi nyingi mno ,
Inategemea na wewe inatafuta nini .
Kuna mtu JF kitambo kidogo,aliweka link ya website ya Darkweb ya porn watu wanafanya na maiti...hah binadamu wana starehe za kishenziiiiiii,Nenda tu mkuu ukajionee ya nn uhadithiwe
Utakua umetembelea site chache, dark Web kuna biashara nyingi sana za kihuni, kule hata ukitaka passport ya uingereza unaipata ndani ya masaa machache tu, ukitaka gun unaipata kwa masaa kadhaa, so biashara haramu ndio ziko kule na site za kule huwa hazivutii kwa kuzitazama ila ndio zinapiga kazi na transaction zake hazifanywi kwa cash bali kwa njia ya crypto ndio maana hata government hawawezi kutrack kujua muamala ulipotoka wala ulipoenda... nenda kasome au kangalie history ya website moja ilikua inaitwa alpha kwanza.Wakuu ukisikiliza stori za dark web mtandano na mitaani unaweza pagawa.
Lakin huko dark web hamna lolote
🙁Kuna mtu JF kitambo kidogo,aliweka link ya website ya Darkweb ya porn watu wanafanya na maiti...hah binadamu wana starehe za kishenziiiiiii,
😹😹😹Nakwambia usiombe ukaingia website ya kweli ya giza! Mimi niliingia kwa sekunde 3 tuu na nilifunika laptop paaa! Na tayari hapo nilishaingiwa na kitu hatari ambacho kilinitesa kwa siku mbili. Kwa bahati nzuri nilijua nini cha kufanya haraka hadi ile miruhani ikakimbia na nilikuwa na bahati kweli kweli! Acha kabisa!!
Kibuyu unachonifanyia sio sawa, hata kama hunipendi ila ndo nini hii kunigwaya siku zote hizi..?We kibuyu tulia waungwana waendelee kutiririka kwanza, kuna taarifa zimenivutia hapa.
Ila dogo unanusa 😹Kibuyu unachonifanyia sio sawa, hata kama hunipendi ila ndo nini hii kunigwaya siku zote hizi..?
Hahaha, ukiona hivyo ujue unapendwa.Ila dogo unanusa 😹
Wewe nikifa utakuwa wa kwanza kujua humu, inatakiwa nikupe taarifa zangu.!!
Wewe umezidi kunipenda aisee 😂Hahaha, ukiona hivyo ujue unapendwa.