PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Anonymity ya hizo websites ndiyo kinachopelekea ziitwe dark-webs.Shida ni kutojua maana ya darkweb imetafiliwa tofaut sana, hata jf inaweza kutumika kama darkweb
Pale unatumia mfumo ambao selikal inashindwa kubaini watumiaji na wanafanikiwa mipango hao bila kubainika na hasa pale unakuta hata haijasajiliwa na kutambuliwa na mamlaka za selikal
Jf isingekuwa registered ingepata sifa baadhi ya kuwa one among in dark
Kama utaweza kutengeneza web yako, ukai encrypt ili kuficha address na kuwawezesha watumisaji watumie pasipo shaka ya kutambulika, huku ukiiwezesha kufunguka kupitia the onion router. Onion routers (TOR) ndiyo inaziba kiburi na kuzipa maana hizo dark webs.