babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
its about your avatar again,I LOVE IT:hug:Hivi Mhusika yuko JF au ni barua pepe ulimtumia CC JF ?
:rofl:
watu mna visA hapa,sasa mijadala ya divorce na break up inaongoza,mi nahisi mmeshaonjana sukari gulu yote imeisha sasa mnaonana kama makapi,haya mpasie FIDEL aitoe machungu,neeeeext:target:
Duuh hiyo yaitwa break up tena yenye majonzi makubwa sana. Pole Chiefmtz
yaah halafu jamaa anarudi tena´im sory, am sory darling turudiane´nyooo,kwanza unamwacha mtu darling,darling za nini??we umeamua kumwumiza kisha unamuita darling plz ooh we cnt go on khe,mie kwanza siwezi hata kum face partner kwa ajili ya ku break-up maana nikimuona chozi linamtoka namimi sichelewi kumwaga chozi,huwa sipendi kuona mtu niliyependana nae akiumia hata kama kaniuzi vipi.unajua kama mmeamua kuachana ni bora mkaachana kimya kimya kuwekana live namna hii yawezekana lengo lako ni kumuumiza kumbe ndo unampa promo kiaina bila ya ww kujijua kesho na kesho kutwa mtu anafunga ndoa kanisani au msikitini.
Do Fidel80 = Fisi.................................:yuck:
yaah halafu jamaa anarudi tena´im sory, am sory darling turudiane´nyooo,kwanza unamwacha mtu darling,darling za nini??we umeamua kumwumiza kisha unamuita darling plz ooh we cnt go on khe,mie kwanza siwezi hata kum face partner kwa ajili ya ku break-up maana nikimuona chozi linamtoka namimi sichelewi kumwaga chozi,huwa sipendi kuona mtu niliyependana nae akiumia hata kama kaniuzi vipi.
Mzee wa kuponyesha wajeruhiwa!

Daughter nimeipenda avatar yako!yaani umeamua umpe live in black n white...duh!poleni sana
hata mimi sielewi shem,mi siwezi kabisa mabo haya ya break up,in and out,najua inaumiza sana bora hata uende slow motion mpaka mtu anaelewa tu km humuhitaji,lakini namna hii waweza sababisha mauaji.hapo sasa,
darlin this, darlind that,
darling sijisikii kukuoenda tena darling penzi limechuja.................
Darling?????????????????? Maana yake nini??
hata mimi sielewi shem,mi siwezi kabisa mabo haya ya break up,in and out,najua inaumiza sana bora hata uende slow motion mpaka mtu anaelewa tu km humuhitaji,lakini namna hii waweza sababisha mauaji.
he he heee,haya bana kaka simuoni hapa umemficha wapi sikuhizi?aaah mi staki kusema sana
siri ya nini tena ile ajuae mtungi????
he he heee,haya bana kaka simuoni hapa umemficha wapi sikuhizi?
yaah halafu jamaa anarudi tena´im sory, am sory darling turudiane´nyooo,kwanza unamwacha mtu darling,darling za nini??we umeamua kumwumiza kisha unamuita darling plz ooh we cnt go on khe,mie kwanza siwezi hata kum face partner kwa ajili ya ku break-up maana nikimuona chozi linamtoka namimi sichelewi kumwaga chozi,huwa sipendi kuona mtu niliyependana nae akiumia hata kama kaniuzi vipi.
Kama huyo dem darlin yuko humu ndani afanye hivi! amtafute mwanaume kama fidel alafu amtime sehemu huyo mkaka yupo ajipitishe nae tena ikiwezekana washikane mikono huyo jamaa anayejifanya kumwaga uw canti go on wake ataanguka na kuzirai...huyu ni maneno tuu bwana unless otherwise ukute sio kwamba alikuwa anatingisha kiberiti...fanya hivyo darling then utakuja sema...
kwanza darling mwenyewe hajajibu mapigo tu,ntafurahi kweli akija kisha amwambie jamaa aendelee tu asiwe na wasi kwanza yeye mwenyewe darling alitaka kumuacha siku nyingi sema alikua anamlia timing,kisha amwambie yeye aende tu wala asijali kwanza alikua anamchuna tu na hakuwa na mapenzi nae wala nini lol,hapo itakua kali.mmmh hapo mi hata sishauri hivo!!! Yaani ukamdolishie kuwa na wew eumepata?? Ili iweje sasa, n akama hatashtuka je hata akikuona fidel anavokukumbatia??
Mwisho wa siku u will be fooling no one but yourself darling!!!
Si kakumwaga, stand up and keep your head straight, if u were not meant for each other haa ukilazimishia leo kesho wewe ni victim!!!! Huwezi jua unaepuka nini leo and what awaits you 2moro!!!
I have been there and i knw how it hurts, but its not the end of the world!!!! Life has to go on!!
Darl naomba nikiri kwamba moyo wangu wa baridi juu ya mapenzi ya kweli ni wewe ndiye uliyeufanya ukawa moto na kujikuta ukiwa tayari kuhangaika kwa ajili ya kitu mapenzi.Na naomba nikiri kwamba safari yangu ya mapenzi ya kutafuta mapenzi ya dhati ilionekana kuwa hatimaye imefika mahala pake.