Darling, I'm Sorry I can't go on

Darling, I'm Sorry I can't go on

watu mna visA hapa,sasa mijadala ya divorce na break up inaongoza,mi nahisi mmeshaonjana sukari gulu yote imeisha sasa mnaonana kama makapi,haya mpasie FIDEL aitoe machungu,neeeeext:target:

Unajua kama mmeamua kuachana ni bora mkaachana kimya kimya kuwekana live namna hii yawezekana lengo lako ni kumuumiza kumbe ndo unampa promo kiaina bila ya ww kujijua kesho na kesho kutwa mtu anafunga ndoa kanisani au msikitini.
 
unajua kama mmeamua kuachana ni bora mkaachana kimya kimya kuwekana live namna hii yawezekana lengo lako ni kumuumiza kumbe ndo unampa promo kiaina bila ya ww kujijua kesho na kesho kutwa mtu anafunga ndoa kanisani au msikitini.
yaah halafu jamaa anarudi tena´im sory, am sory darling turudiane´nyooo,kwanza unamwacha mtu darling,darling za nini??we umeamua kumwumiza kisha unamuita darling plz ooh we cnt go on khe,mie kwanza siwezi hata kum face partner kwa ajili ya ku break-up maana nikimuona chozi linamtoka namimi sichelewi kumwaga chozi,huwa sipendi kuona mtu niliyependana nae akiumia hata kama kaniuzi vipi.
 
Mimi huu nachukulia ni unafiki usikute alimdanganya mtu wa watu akawa na matumaini tele baadae kammwaga then Darling am sorry
 
yaah halafu jamaa anarudi tena´im sory, am sory darling turudiane´nyooo,kwanza unamwacha mtu darling,darling za nini??we umeamua kumwumiza kisha unamuita darling plz ooh we cnt go on khe,mie kwanza siwezi hata kum face partner kwa ajili ya ku break-up maana nikimuona chozi linamtoka namimi sichelewi kumwaga chozi,huwa sipendi kuona mtu niliyependana nae akiumia hata kama kaniuzi vipi.

hapo sasa,
darlin this, darlind that,
darling sijisikii kukuoenda tena darling penzi limechuja.................
Darling?????????????????? maana yake nini??
 
hapo sasa,
darlin this, darlind that,
darling sijisikii kukuoenda tena darling penzi limechuja.................
Darling?????????????????? Maana yake nini??
hata mimi sielewi shem,mi siwezi kabisa mabo haya ya break up,in and out,najua inaumiza sana bora hata uende slow motion mpaka mtu anaelewa tu km humuhitaji,lakini namna hii waweza sababisha mauaji.
 
hata mimi sielewi shem,mi siwezi kabisa mabo haya ya break up,in and out,najua inaumiza sana bora hata uende slow motion mpaka mtu anaelewa tu km humuhitaji,lakini namna hii waweza sababisha mauaji.

aaah mi staki kusema sana

siri ya nini tena ile ajuae mtungi????
 
he he heee,haya bana kaka simuoni hapa umemficha wapi sikuhizi?

mwache atafute sembe kwanza bwana si unajua yeye ndo kichwa cha familia shem???

But he z gud though!!
 
yaah halafu jamaa anarudi tena´im sory, am sory darling turudiane´nyooo,kwanza unamwacha mtu darling,darling za nini??we umeamua kumwumiza kisha unamuita darling plz ooh we cnt go on khe,mie kwanza siwezi hata kum face partner kwa ajili ya ku break-up maana nikimuona chozi linamtoka namimi sichelewi kumwaga chozi,huwa sipendi kuona mtu niliyependana nae akiumia hata kama kaniuzi vipi.

Kama huyo dem darlin yuko humu ndani afanye hivi! amtafute mwanaume kama fidel alafu amtime sehemu huyo mkaka yupo ajipitishe nae tena ikiwezekana washikane mikono huyo jamaa anayejifanya kumwaga uw canti go on wake ataanguka na kuzirai...huyu ni maneno tuu bwana unless otherwise ukute sio kwamba alikuwa anatingisha kiberiti...fanya hivyo darling then utakuja sema...
 
mmmh hapo mi hata sishauri hivo!!! yaani ukamdolishie kuwa na wew eumepata?? ili iweje sasa, n akama hatashtuka je hata akikuona Fidel anavokukumbatia??
mwisho wa siku u will be fooling no one but yourself darling!!!
si kakumwaga, stand up and keep your head straight, if u were not meant for each other haa ukilazimishia leo kesho wewe ni victim!!!! huwezi jua unaepuka nini leo and what awaits you 2moro!!!

I have been there and I knw how it hurts, but its not the end of the world!!!! Life has to go on!!
 
mmmh hapo mi hata sishauri hivo!!! Yaani ukamdolishie kuwa na wew eumepata?? Ili iweje sasa, n akama hatashtuka je hata akikuona fidel anavokukumbatia??
Mwisho wa siku u will be fooling no one but yourself darling!!!
Si kakumwaga, stand up and keep your head straight, if u were not meant for each other haa ukilazimishia leo kesho wewe ni victim!!!! Huwezi jua unaepuka nini leo and what awaits you 2moro!!!

I have been there and i knw how it hurts, but its not the end of the world!!!! Life has to go on!!
kwanza darling mwenyewe hajajibu mapigo tu,ntafurahi kweli akija kisha amwambie jamaa aendelee tu asiwe na wasi kwanza yeye mwenyewe darling alitaka kumuacha siku nyingi sema alikua anamlia timing,kisha amwambie yeye aende tu wala asijali kwanza alikua anamchuna tu na hakuwa na mapenzi nae wala nini lol,hapo itakua kali.
 
Darl naomba nikiri kwamba moyo wangu wa baridi juu ya mapenzi ya kweli ni wewe ndiye uliyeufanya ukawa moto na kujikuta ukiwa tayari kuhangaika kwa ajili ya kitu mapenzi.Na naomba nikiri kwamba safari yangu ya mapenzi ya kutafuta mapenzi ya dhati ilionekana kuwa hatimaye imefika mahala pake.

Duh!!! Watu wanajua kutoa hisia zao. Lakini all in all nimemkubali Chiefmtz whether kisa hicho kimemtokea yeye au mwingine lakini ameonesha ukomavu wa hali juu kwani watu wengi katika hatua hii huwa hawawezi kuchagua maneno na matokeo yake huwa ni kutoa maneno ya kashfa mara oooo!! wewe ni mwanamme au mwanamke gani usiyejua hili na lile alimradi tu amuumize mwenzake.

Lakini licha ya maumivu aliyonayo ameweza kueleza hisia zake kwa upole na utulivu na mara nyingi watu wa aina hii huchukua msimamo wa moja kwa moja.
 
Kibuti ni kibuti tuu hata ukirembe namna gani,kuuma kuko pale pale....
 
Back
Top Bottom