Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha uwongo mzeeeti Barabara ya Kimara bado ina uafadhali, ila Mwendokasi Karume ishapasuka
Ukienda Mbagala ndo usiseme
Tatizo umejifungia ndani kama mavi, hutoki hadi usukumwe.acha uwongo mzee
Tanzania tuna uzoefu mkubwa wa kuendesha biashara zisizo na ushindani na kufanikiwa kupata hasara. Ya DART ni muendelezo tu.Sijausoma uzi kabisa zaidi ya heading BUT ni mwehu, mwendawazimu na mtu ambaye hana akili kabisa ndio anaweza kuelewa why mradi wa UDART unakufa. Sijausoma uzi cause jambo hili la mwendo kasi linaudhi sana. Wateja wapo wa kutosha kabisa, biashara haina ushindani, mamlaka za serikali hazikusumbui halafu bado una fail? Hata kama huna UBONGO kabisa kichwani bado huwezi kushindwa kuendesha biashara ile, kukosa uzalendo na kutoitazama kesho ya Tanzania ndio kunaumiza haya mambo
TANROAD washashindwa maana kule mbagala ni mwaka sasa imeharibika na huenda wakakabidhiwa hivo hivoTANROADS iwatie mkwara
Kuna kila daliliMiradi ya kipigaji hii
Umesema sawa mkuu, utasikia mkandarasi wa ndani hatoi cha juu, ndiyo maana hawapewi miradi.Mmetifuatifua Barabara kila mahala na kuleta mifoleni isiyo na msingi barabarani huko halafu leo mnakuja na ngonjera sizizoelewaka.
Tulipaswa kujenga moja na kumaliza then tunaamiw nyingine.
Ile ya Tazara to Airport ni kipande kifupi sana ambacho kinaweza kufanyika week moja, hata hicho cha ubungo mawasiliano to mwenye nacho ni week moja tu unamaliza.
Kila siku tunawaambia CCM boresheni mifumo ya Elimu na muwajengee watu wenu uwezo ili hizi kazi wazifanye wenyewe MNALETA SIASA SIASA.
Ukiwa na engineers wa highways, Civil, structural na Mechanical wenye uwezo na competency ukawapa uwezo na vifaa hizi kazi zingefanywa na wakandarasi wa ndani Kwa bei nafuu saana.
Tunawaambia pia muanze haraka uchimbaji wa IRON ORE pale Liganga na Mchuchuma ili tuzarishe chuma chetu wenyewe na kupunguza gharama za kuimport chuma, gharama za haya maujenzi zingeenda chini sana na tungekuwa tunayafanya wenyewe kila kukicha.
Ili uweze kujenga miundo mbinu Kwa haraka haraka na Taifa likakimbia kwenye uwanja huo unapaswa kuwa na watu wako mwenyewe wenye uwezo wakuyafanya hayo na mitambo ( hapo tunazungumzia enough skilled workforce) au huwa na hela za kutosha kupitia resources zako ulete 1st class construction companies zitakazokujengea kwa time frame ndogo na quality kubwa ( GCC wanatumia hii style).
Ni ngumu Sana jambo lolote chini ya CCM kufanikiwa maana wenyewe wanachowaza ni chama kuendelea kubaki madarakani na watu waendelee kuwa wajinga.
Wale TUNAOJUA VIZURI HII FIELD huwa tunapata hasira sana, tukioona serikali MNAFIK anamuami mchina kuliko aliyemfundisha kwenye vyuo vyake....Nenda uone miundo mbinu ya maji ,uone upotevu wa Maji, hasa huko KIMARA , ambapo wachina wamechimba, leakage zakutosha, inashangaza kuona mchina anamuamuru machine operator afukie Bomba linalovuja...bila kuziba leakage..akidhan maji hayatatoboa...anatengeneze base ...ili asonge Mbele, hamna mawasiliano Mazur Kati ya mamlaka za maji, na za ujenzi...kila mmoja mbinafsi wa kutoa fungu..UBUNGO _KIMARA DART ..ROAD EXPANSION PROJECT. upuuzi mtupu...tuna viongoz wasiojua kuhoji na Waoga sana kwa MCHINA..kiasi kwamba unaweza jua ni kiasi MCHINA amepewa mamlaka iliyokubwa juu ya mwananchi wa TZ.Mmetifuatifua Barabara kila mahala na kuleta mifoleni isiyo na msingi barabarani huko halafu leo mnakuja na ngonjera sizizoelewaka.
Tulipaswa kujenga moja na kumaliza then tunaamiw nyingine.
Ile ya Tazara to Airport ni kipande kifupi sana ambacho kinaweza kufanyika week moja, hata hicho cha ubungo mawasiliano to mwenye nacho ni week moja tu unamaliza.
Kila siku tunawaambia CCM boresheni mifumo ya Elimu na muwajengee watu wenu uwezo ili hizi kazi wazifanye wenyewe MNALETA SIASA SIASA.
Ukiwa na engineers wa highways, Civil, structural na Mechanical wenye uwezo na competency ukawapa uwezo na vifaa hizi kazi zingefanywa na wakandarasi wa ndani Kwa bei nafuu saana.
Tunawaambia pia muanze haraka uchimbaji wa IRON ORE pale Liganga na Mchuchuma ili tuzarishe chuma chetu wenyewe na kupunguza gharama za kuimport chuma, gharama za haya maujenzi zingeenda chini sana na tungekuwa tunayafanya wenyewe kila kukicha.
Ili uweze kujenga miundo mbinu Kwa haraka haraka na Taifa likakimbia kwenye uwanja huo unapaswa kuwa na watu wako mwenyewe wenye uwezo wakuyafanya hayo na mitambo ( hapo tunazungumzia enough skilled workforce) au huwa na hela za kutosha kupitia resources zako ulete 1st class construction companies zitakazokujengea kwa time frame ndogo na quality kubwa ( GCC wanatumia hii style).
Ni ngumu Sana jambo lolote chini ya CCM kufanikiwa maana wenyewe wanachowaza ni chama kuendelea kubaki madarakani na watu waendelee kuwa wajinga.
Kuna kila dalili
Ile barabara ya Butiama nilipita kwanza, ina miinuka magari yanakata viuno. Halafu kokoto ziko juu juu lami alikuwa anaweka kibaba.Umesema sawa mkuu, utasikia mkandarasi wa ndani hatoi cha juu, ndiyo maana hawapewi miradi.
Kule Musoma, walikuwepo makandarasi 10 mradi wa barabara kupitia Butiama. Pamoja na kuchelewa mradi ulikamilika.
Serikali haipendi huu uzalendo.
Umepita mtaa wa Lindi Kariakoo uliojengwa na Wachina na World Bank.Ile barabara ya Butiama nilipita kwanza, ina miinuka magari yanakata viuno. Halafu kokoto ziko juu juu lami alikuwa anaweka kibaba.
Nikauliza naambiwa mkandarasi mzawa anaitwa Mayanga
Ina udhi sana. Imagine biashara inakufa kwasababu imezidiwa wateja, just imagine. Wanaosemaga Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambazo wananchi wake wana IQ ndogo sana, kwa hili utabishaje?Tanzania tuna uzoefu mkubwa wa kuendesha biashara zisizo na ushindani na kufanikiwa kupata hasara. Ya DART ni muendelezo tu.
Kuna tofauti kubwa kati ya ppp ba JVView attachment 3260970
Nimemsikia Waziri wa Ujenzi, Abdalla Ulega akigombana na Makandarasi wa kichina wanaotekeleza miradi kadhaa ya DART(Dar es salaam Rapid Bus Trasnport), inayohusu ujenzi wa barabara za mwendo kasi wa mavbasi jijini Dar es salaam.
Bahati mbaya kwamba waziri Ulega ameyarithi matatizo yaliyokuwepo nyuma.
Waziri aliyemtangulia alisaini miradi mingi ya DART jijini, bila kuwa na strategic execution plan.
Miradi hiyo kama ifuatavyo:
-Airport-KAMATA/JAMHURI RD
-Bibi Titi rd
-Azikiwe rd
-Alihassan Mwinyi Rd-Morocco
-Morocco-Mwenge
-Ubungo-Mwenge
-Kimara -Mwenge
-Mwenge-Tegeta
-Tegeta-Boko
Hiyo ni miradi tisa(9), na yote inafanyika kwa wakati mmoja.
Hili kwa jiji la Dar es salaam inashangaza , ukifikiria msongamano wa magari na ufinyu wa njia za mchepuko(Diversions)
Kulikuwa na ulazima gani kuifanya miradi hii kwa pamoja,.
Hilo anaweza kujibu Waziri Mbarawa, inaelekeea kuna kitu nyuma ya pazia hapa.
Halafu utekelezaji wa miradi ya miji yote hufanyika kwa kiwango kikubwa usiku.
Sasa hawa wenzetu wa kampuni za kichina, hawafanyi kazi mchana wala usiku.
Kwenye picha ni Bibi Titi rd, wafanyakazi hapo wanabarizi tu, hakuna kinachoendelea
Hapa somo lazima liwepo.
Mbaya zaidi miradi karibu yote ya WORLD BANK ni wachina wanapewa.
Wachina wanajulikana kwa kuhonga ili kupata miradi, na WORLD BANK nao si malaika, tunajua wako corrupt.
Serikali iwasikilize wadau wake.
Hilo halina mjadala.Kuna tofauti kubwa kati ya ppp ba JV
Kwani kafululu fulu Lu mwenyewe anasemajeHilo halina mjadala.
Lakini nchi zinazojielewa zinatumia wakadarasi wake wazawa.
Kafulila yeye anasifu na kuabudu tu, hana anachojua fani hii.Kwani kafululu fulu Lu mwenyewe anasemaje