DART inasuasua, tatizo linaanzia serikalini, Ubia wa WORLD BANK na Wachina uangaliwe

Kuna uhuni+ uwizi unaendelea

Ova
 
Tanzania tuna uzoefu mkubwa wa kuendesha biashara zisizo na ushindani na kufanikiwa kupata hasara. Ya DART ni muendelezo tu.
 
Umesema sawa mkuu, utasikia mkandarasi wa ndani hatoi cha juu, ndiyo maana hawapewi miradi.
Kule Musoma, walikuwepo makandarasi 10 mradi wa barabara kupitia Butiama. Pamoja na kuchelewa mradi ulikamilika.
Serikali haipendi huu uzalendo.
 
Wale TUNAOJUA VIZURI HII FIELD huwa tunapata hasira sana, tukioona serikali MNAFIK anamuami mchina kuliko aliyemfundisha kwenye vyuo vyake....Nenda uone miundo mbinu ya maji ,uone upotevu wa Maji, hasa huko KIMARA , ambapo wachina wamechimba, leakage zakutosha, inashangaza kuona mchina anamuamuru machine operator afukie Bomba linalovuja...bila kuziba leakage..akidhan maji hayatatoboa...anatengeneze base ...ili asonge Mbele, hamna mawasiliano Mazur Kati ya mamlaka za maji, na za ujenzi...kila mmoja mbinafsi wa kutoa fungu..UBUNGO _KIMARA DART ..ROAD EXPANSION PROJECT. upuuzi mtupu...tuna viongoz wasiojua kuhoji na Waoga sana kwa MCHINA..kiasi kwamba unaweza jua ni kiasi MCHINA amepewa mamlaka iliyokubwa juu ya mwananchi wa TZ.
Wanaosema HAYATUHUSU ndo watoa Kodiak, ifike paalq WATZ tuvae mamlaka kupingana na upuuzi huo...WAANDISI WANAJUA ..
 
Attachments

  • 1741322641547.jpg
    411 KB · Views: 1
Umesema sawa mkuu, utasikia mkandarasi wa ndani hatoi cha juu, ndiyo maana hawapewi miradi.
Kule Musoma, walikuwepo makandarasi 10 mradi wa barabara kupitia Butiama. Pamoja na kuchelewa mradi ulikamilika.
Serikali haipendi huu uzalendo.
Ile barabara ya Butiama nilipita kwanza, ina miinuka magari yanakata viuno. Halafu kokoto ziko juu juu lami alikuwa anaweka kibaba.

Nikauliza naambiwa mkandarasi mzawa anaitwa Mayanga
 
Ile barabara ya Butiama nilipita kwanza, ina miinuka magari yanakata viuno. Halafu kokoto ziko juu juu lami alikuwa anaweka kibaba.

Nikauliza naambiwa mkandarasi mzawa anaitwa Mayanga
Umepita mtaa wa Lindi Kariakoo uliojengwa na Wachina na World Bank.
Kasumba zitawaua.
 
Tanzania tuna uzoefu mkubwa wa kuendesha biashara zisizo na ushindani na kufanikiwa kupata hasara. Ya DART ni muendelezo tu.
Ina udhi sana. Imagine biashara inakufa kwasababu imezidiwa wateja, just imagine. Wanaosemaga Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambazo wananchi wake wana IQ ndogo sana, kwa hili utabishaje?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya ppp ba JV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…