DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

Huyo dereva nampongeza kuwapeleka hao wa kimara kuwapeleka moroco
Alienda kuwaonyesha kuwa kwa nini ufanye shughuli zako katikati ya jiji halafu ukae mbali huko kimara wakati kuna eneo tu la jirani la moroco kaeni moroco achaneni na kimara..Nadhani wanaojielewa waliomwelewa huyo dereva watakuwa wameshaanza kutafuta nyumba za kupanga moroco ili wahame kimara
 
Muda mfupi baada ya Member wa JamiiForums.com kusimulia tukio la Dereva wa Basi la Mwendokasi aliyetakiwa kuwapeleka Abiria Kimara kutoka Kivukoni, badala yake akawapeleka Kituo cha Morocco kisha kuwaacha hapo, jana Machi 26, 2024, mamlaka husika inatarajiwa kuchukua hatua.

Mtendaji Mkuu wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Dkt. Athuman Kihamia amesema:

Your browser is not able to display this video.​
“Nilipata taarifa ya tukio hilo kutoka kwa kiongozi wa juu ambaye alipewa taarifa kutoka kwa Abiria aliyekuwa kwenye gari, nikafika eneo la tukio lakini kwa kuchelewa kidogo na hivyo kukuta wameshamaliza changamoto iliyotokea.
Walewale tu, ati mpaka apate taarifa kutoka kiongozi wa juu
Yeye akili yake haijitegemei
 
Huyo dereva nampongeza kuwapeleka hao wa kimara kuwapeleka moroco
Alienda kuwaonyesha kuwa kwa nini ufanye shughuli zako katikati ya jiji halafu ukae mbali huko kimara wakati kuna eneo tu la jirani la moroco kaeni moroco achaneni na kimara..Nadhani wanaojielewa waliomwelewa huyo dereva watakuwa wameshaanza kutafuta nyumba za kupanga moroco ili wahame kimara
Yaani niache kuishi kwenye nyumba yangu nikapange Morocco.
Kweli akili hauna
 
Tusiendeshe Nchi kwa mihemko na maagizo ya Wanasiasa. Basi linakwenda MOROCCO wahuni wachache wanapanda kwa Nguvu wanamwambia dereva peleka gari kimara! Halafu tnasema tunamwadhibu dereva? Tuache kufanya vitu kiholela, hao abiria ni wahuni tu ilipaswa wote wawe polisi kwa kusabbisha usumbufu. Kwa wapenda ustaarabu this is NO THANKS, Tukemee huu ujinga na upumbavu wa abiria wachache wanaotaka kujichukulia sheria mkononi.
Mpuuzi kabisa wewe.Inawezekana upo huko iselamagazi,hujui abiria tunapataje shida na hawa Madereva na wasimamizi wa mwendokasi.Kwa hiyo nyamaza.Boya kabisa
 
Wewe!
Ukitaka kuutikisa huo mnyororo wa uwajibikaji utagonga hadi jumba jeupe.
Ni vema tukamalizana na hao makanjanja tulio na uwezo nao hata wa kuwakaripia tu.
Kweli kabisa.Ifike mahali tunadunda,ili wapeleke ujumbe Kwa wakubwa wao
 
Mpuuzi kabisa wewe.Inawezekana upo huko iselamagazi,hujui abiria tunapataje shida na hawa Madereva na wasimamizi wa mwendokasi.Kwa hiyo nyamaza.Boya kabisa
Acha ufala wewe, hasira zako na uzembe wako visifanye uwe takataka kama unajielewa opt for Bolt, Uber, Ping nk nk sio kukaa kugombana na madereva na makondakta. Msongo wako wa mawazo usikufanye uonekane hamnazo
 
Back
Top Bottom