DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

Huyo dereva ni kichwa maji kabisa.
Eti mwenyewe aliona amewakomoa abiria kuwatoa kuvukoni akawapeleka morocco kisha akawarudisha kivukoni na kuwapeleka kimara wala hakupiga hesabu mafuta aliyochoma bure pamoja na muda hapo ameitia hasara serikali.
Wabongo biashara bado sana
 
Back
Top Bottom