Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mabasi yako wapi? Humo tunabanana kama dagaa kwenye gunia ,kadi INA tija gani?YAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU!
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya Mwendokasi. Katika kuboresha huduma na mfumo wa ukusanyaji wa nauli pamoja na kuruhusu wateja wetu kutumia kadi, bei ya kadi hii imeshushwa hadi Sh 1,000/= (Yaani Shilingi Elfu Moja tu) kuanzia tarehe 17 Mei, 2025.
Matumizi ya tiketi za karatasi yatafutwa rasmi ifikapo tarehe 30 Juni, 2025. Baada ya tarehe hiyo, wasafiri wenye kadi pekee ndio watakaoweza kusafiri kwa kutumia mabasi ya mfumo wa DART. Utaratibu wa matumizi ya kadi hautahusisha wanafunzi.
NUNUA KADI YA MWENDOKASI SASA, SAFIRI KWA HARAKA NA UHAKIKA!
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART
ΜΕΙ 16,2025.
Unatumia mfuko wa plastic?Hebu tuone maana nchi hii tunajuana...
Lililo na uhakika kw a 100% ni CCM kushinda Uchaguzi tu .
Hizo za 1000 unasafiria siku zote sasa au sio mbona taarifa haikakamilikaYAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU!
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya Mwendokasi. Katika kuboresha huduma na mfumo wa ukusanyaji wa nauli pamoja na kuruhusu wateja wetu kutumia kadi, bei ya kadi hii imeshushwa hadi Sh 1,000/= (Yaani Shilingi Elfu Moja tu) kuanzia tarehe 17 Mei, 2025.
Matumizi ya tiketi za karatasi yatafutwa rasmi ifikapo tarehe 30 Juni, 2025. Baada ya tarehe hiyo, wasafiri wenye kadi pekee ndio watakaoweza kusafiri kwa kutumia mabasi ya mfumo wa DART. Utaratibu wa matumizi ya kadi hautahusisha wanafunzi.
NUNUA KADI YA MWENDOKASI SASA, SAFIRI KWA HARAKA NA UHAKIKA!
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART
ΜΕΙ 16,2025.
CCM imefanya biashara ipi ikapata faida ikafanya hayo yote unayoita mazuri?Unatumia mfuko wa plastic?
Je unapanda dala dala mbezi posta?
Umeme una mgao kwako hapo?
Unalipishwa hela ya uniform na ada shule ya msingi?
Kuna mengi mazuri na mengi tu mabaya, ila ccm imeyafanya kaa kimya
Ikushikii boro uelewe, ww kaza mgongo hvo hvo.CCM imefanya biashara ipi ikapata faida ikafanya hayo yote unayoita mazuri?
Sasa elfu 20 ni hela ya kumuua mtu na njaa?Wale wauza tiketi pale Muhimbili watakufa njaa maana kila siku hawana chenchi.
Inasemekana Kwa siku hupata si chini ya 20000
Ndo njia uliyopatiwa uelewa.S
Ikushikii boro uelewe, ww kaza mgongo hvo hvo.
Mwanzoni hawa si walikuwa na kadi....zikapoteaNi kwanini zisitumike zile zile za serikali kama za kwenye viwanja vya mpira, vivuko nk.?
Siku 90 zimetimia?Dart, Udart zapewa siku 90 mabasi Mwendokasi Mbezi Mbagala yapatikane
Dart, Udart zapewa siku 90 mabasi Mwendokasi Mbezi Mbagala yapatikane
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amezitaka Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) kuhakikisha ifikapo Desemba 2024, mabasi ya mwendokasi yanayotakiwa katika barabara ya Morogoro na ya...www.jamiiforums.com
Elfu 20000 tuWale wauza tiketi pale Muhimbili watakufa njaa maana kila siku hawana chenchi.
Inasemekana Kwa siku hupata si chini ya 20000
20,000×30=?Sasa elfu 20 ni hela ya kumuua mtu na njaa?