DART: Mwisho wa Tiketi za Karatasi kwenye Mabasi ya Mwendokasi ni Juni 30, 2025

Unatumia mfuko wa plastic?
Je unapanda dala dala mbezi posta?
Umeme una mgao kwako hapo?
Unalipishwa hela ya uniform na ada shule ya msingi?
Kuna mengi mazuri na mengi tu mabaya, ila ccm imeyafanya kaa kimya
Wewe umeona hayo ya Dar tu ndo umetumia kuisuuza CCM sio??🥺
Wewe tuliza tu hilo komwe lako ambalo ni kama buyu lisilo jua chochote kwenye hii nchi.
Dodoma pale ardhi inauzwa kilasiku na Manispaa ipo , Uongozi wa halimashauri wa jiji upo , na unaruhusu kupima viwanja .Kisha CCm pipo zina kuja kukuwakia tu juu kwa badae eti hiki ni kiwanja cha Waziri .......x na mengine mengi madudu sana .
 
YAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU!

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya Mwendokasi. Katika kuboresha huduma na mfumo wa ukusanyaji wa nauli pamoja na kuruhusu wateja wetu kutumia kadi, bei ya kadi hii imeshushwa hadi Sh 1,000/= (Yaani Shilingi Elfu Moja tu) kuanzia tarehe 17 Mei, 2025.

Matumizi ya tiketi za karatasi yatafutwa rasmi ifikapo tarehe 30 Juni, 2025. Baada ya tarehe hiyo, wasafiri wenye kadi pekee ndio watakaoweza kusafiri kwa kutumia mabasi ya mfumo wa DART. Utaratibu wa matumizi ya kadi hautahusisha wanafunzi.

NUNUA KADI YA MWENDOKASI SASA, SAFIRI KWA HARAKA NA UHAKIKA!

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART
ΜΕΙ 16,2025.
Hawa jamaa ahadi zao ni kama za wimbo wa "ndiyo mzee" wa Prof.J, maana kila siku huwa wanakuja na ahadi ambazo hazitekelezeki.
Washatuambia mwendokasi itafika hadi goms, kimya mpaka leo. Mara wakatuambia kuanzia March mwendokasi mbagala itaanza, kimya mpaka leo.
Hata hili la ticket za kuchana walishatoa muda wa mwisho kutumika mwaka jana na leo wanairudia tena baada ya kushindwa kuikamilisha mwaka jana
 
Wanataka kadi zitumike wakati ambapo mifumo yao ya mitandao inazidiwa uwezo na uwingi wa watumiaji,mara kwa mara kadi zilikuwa haziscan eti network hakuna,Hawa watu wanachekesha sana,subiri tuone.
 
YAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU!

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya Mwendokasi. Katika kuboresha huduma na mfumo wa ukusanyaji wa nauli pamoja na kuruhusu wateja wetu kutumia kadi, bei ya kadi hii imeshushwa hadi Sh 1,000/= (Yaani Shilingi Elfu Moja tu) kuanzia tarehe 17 Mei, 2025.

Matumizi ya tiketi za karatasi yatafutwa rasmi ifikapo tarehe 30 Juni, 2025. Baada ya tarehe hiyo, wasafiri wenye kadi pekee ndio watakaoweza kusafiri kwa kutumia mabasi ya mfumo wa DART. Utaratibu wa matumizi ya kadi hautahusisha wanafunzi.

NUNUA KADI YA MWENDOKASI SASA, SAFIRI KWA HARAKA NA UHAKIKA!

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART
ΜΕΙ 16,2025.
Baadaye watasema mwisho December tarehe 30.
Mpaka jamaa zetu (wafanyakazi) wamalizie kujenga vibanda vyao. Na wengine wamalizie kulipa mikopo.
 
Unatumia mfuko wa plastic?
Je unapanda dala dala mbezi posta?
Umeme una mgao kwako hapo?
Unalipishwa hela ya uniform na ada shule ya msingi?
Kuna mengi mazuri na mengi tu mabaya, ila ccm imeyafanya kaa kimya
We ni nyumbu tangu lini serikali inatoa uniform za wanafunzi Bure?
Mpumbavu wewe
 
Hii inasaidia kuondoa msongamano vituoni?

Wallahi huu mradi ni sawa na mfanyabishara aliyeloga ili kupata wateja,kisha wateja wakamzidi. Biashara inakufa kwa kuwa na wateja wengi?

Tangu nione,sijazaliwa
 
YAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU!

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya Mwendokasi. Katika kuboresha huduma na mfumo wa ukusanyaji wa nauli pamoja na kuruhusu wateja wetu kutumia kadi, bei ya kadi hii imeshushwa hadi Sh 1,000/= (Yaani Shilingi Elfu Moja tu) kuanzia tarehe 17 Mei, 2025.

Matumizi ya tiketi za karatasi yatafutwa rasmi ifikapo tarehe 30 Juni, 2025. Baada ya tarehe hiyo, wasafiri wenye kadi pekee ndio watakaoweza kusafiri kwa kutumia mabasi ya mfumo wa DART. Utaratibu wa matumizi ya kadi hautahusisha wanafunzi.

NUNUA KADI YA MWENDOKASI SASA, SAFIRI KWA HARAKA NA UHAKIKA!

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART
ΜΕΙ 16,2025.
Ni mpango mzuri lakin umekua ghafla sana
 
Zimekufa nyingi kwa kuzidiwa na wateja
Reli
NMC
UDA
BORA
MWATEX

Orodha ni ndefu
 
Uliwahi kuona wapi vitu vya serikali vinadumu, subiri tuu baada ya muda watarudi kwenye karatasi au wataunda namna mpya ya upigaji
kweli.ila watapunguza.kuna dogo alikuwa anafanya kazi ya kukatisha tiketi alinielekeza tiketi zinavyouzwa mara mbili
 
Kila siku mbinu mpya ufanisi sifuri. Wapewe akina Abood, Hood, nk waendeshe kampuni.
Serikali imefeli kwenye mwendokasi
 
YAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU!

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya Mwendokasi. Katika kuboresha huduma na mfumo wa ukusanyaji wa nauli pamoja na kuruhusu wateja wetu kutumia kadi, bei ya kadi hii imeshushwa hadi Sh 1,000/= (Yaani Shilingi Elfu Moja tu) kuanzia tarehe 17 Mei, 2025.

Matumizi ya tiketi za karatasi yatafutwa rasmi ifikapo tarehe 30 Juni, 2025. Baada ya tarehe hiyo, wasafiri wenye kadi pekee ndio watakaoweza kusafiri kwa kutumia mabasi ya mfumo wa DART. Utaratibu wa matumizi ya kadi hautahusisha wanafunzi.

NUNUA KADI YA MWENDOKASI SASA, SAFIRI KWA HARAKA NA UHAKIKA!

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART
ΜΕΙ 16,2025.
Mi ninayo ile kadi yenu ya zamani, ninaweza kuendelea kuitumia?
 
Sasa wakatisha tiketi watakula wapi jamani, na wnyw wana familia bhana 😂
 
Back
Top Bottom