Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 2,153
- 3,140
ππππBaadaye watasema mwisho December tarehe 30.
Mpaka jamaa zetu (wafanyakazi) wamalizie kujenga vibanda vyao. Na wengine wamalizie kulipa mikopo.
ππ π π π πSasa wakatisha tiketi watakula wapi jamani, na wnyw wana familia bhana π
ππ π π πSasa wakatisha tiketi watakula wapi jamani, na wnyw wana familia bhana π
Ya kwangu wala sikumbuki ilikoMi ninayo ile kadi yenu ya zamani, ninaweza kuendelea kuitumia?
Kuongeza salio ni rahisi sana wala hauhitaji kwenda kwa wakala simu yako tu inatosha hata kama sio simu janja, unachotakiwa ni kufanya miamala kama unavyolipia huduma nyingine na ile namba iliyoko kwenye kadi yako ndio namba ya malipo ama control number, maisha yamerahisishwa sana.DART Mwendokasi
Andaeni utaratibu kuwapa uwakala wafanya biashara waweze kuuza na kuongeza salio hizo kadi.