Harvey Specter
Member
- Jun 26, 2024
- 41
- 57
Imesogezwa mbele ili afanyie kampeni mgombea wa CCM atakapokwenda Mbagala.Huduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi.
Akizungumza lna gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 , Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia, amesema kuchelewa kuanza kwa huduma hiyo kunatokana na changamoto hizo, licha ya mabasi kuwa tayari yamewasili. "Mageti janja kwa ajili ya ukataji wa tiketi bado hayajafungwa na kituo cha kujazia gesi kilichopo kwenye karakana ya Mbagala nacho hakijakamilika" alisema Dk. Kihamia.
Ameahidi kutoa taarifa rasmi kuhusu maendeleo ya ujenzi huo tutaitoa baada ya wiki moja kutokea leo.
Ikumbukwe Mabasi hayo 151 yaliwasili katika karakana ya Mbagala Rangi Tatu tangu usiku wa Agosti 29, 2025.
Je wakati wanaahidi kuanza safari hizo siku ya leo Septemba Mosi, 2025 hawakua na taarifa kamili za maendeleo ya miundo mbinu hiyo, ndio wameshtukizwa leo???
View attachment 3461130
View attachment 3461132
Mwekezaji ni wa hapa hapa tz sio nje ya nchiAliyenunuliwa haya mabasi anayeitwa Mwekezaji bado hajafika, yaani barabara zetu na magari ni yetu halafu yeye anakuja kukusanya tu hela!
Poor Tanzania!
kaweka bei gani?Mwekezaji ni wa hapa hapa tz sio nje ya nchi
Changamoto hutokea tu ni sehemu ya maisha,tuwe wavumilivu tuwape muda kidogoHuduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi.
Akizungumza lna gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 , Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia, amesema kuchelewa kuanza kwa huduma hiyo kunatokana na changamoto hizo, licha ya mabasi kuwa tayari yamewasili. "Mageti janja kwa ajili ya ukataji wa tiketi bado hayajafungwa na kituo cha kujazia gesi kilichopo kwenye karakana ya Mbagala nacho hakijakamilika" alisema Dk. Kihamia.
Ameahidi kutoa taarifa rasmi kuhusu maendeleo ya ujenzi huo tutaitoa baada ya wiki moja kutokea leo.
Ikumbukwe Mabasi hayo 151 yaliwasili katika karakana ya Mbagala Rangi Tatu tangu usiku wa Agosti 29, 2025.
Je wakati wanaahidi kuanza safari hizo siku ya leo Septemba Mosi, 2025 hawakua na taarifa kamili za maendeleo ya miundo mbinu hiyo, ndio wameshtukizwa leo???
View attachment 3461130
View attachment 3461132
There is no hurry in africaHuduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi.