DART yasitisha vibali njia ya mwendokasi, kuanzia leo Desemba 10, 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umetoa taarifa ya kusitisha vibali vyote vya usafiri isipokuwa Mabasi Yaendayo Haraka kutumia njia maalum za Mabasi Yaendayo Haraka (BRT).

DART imesisitiza kuwa vibali vyote vilivyowahi kutolewa vimesitishwa kuanzia leo Desemba 10, 2025.

DART imesema, doria na udhibiti vitaimarishwa ili kuhakikisha agizo hilo linazingatiwa na hatua za kisheria zitachukuliwa kwa yeyote atakayekiuka agizo hilo.

Aidha, DART imetoa wito kwa wananchi wote kushirikiana kulinda miundombinu ya BRT.
 
Tunaomba pia muzui piki piki pia.
 
It's about time! BRT lanes zimekuwa njia za bodaboda na madereva wasiojitambua.
 
Back
Top Bottom