Malaika wa Kifo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 4,052 Reaction score 4,621 Jul 13, 2024 #21 Msuli wa mbu said: Sawa lakini Ndio maana hata kwenye u-king wa rhymz ulizua utata kwa baadhi ya ma-heavy emcee Kama solo thank wakati huo. Kwani we unadhani kati ya homa Dunia na darubini kali upi wimbo una content mkuu. Click to expand... Kwa kipindi kile ukitoa wimbo wa Prof Jay haukutokea wimbo mwingine wa kuushindanisha na Darubini Kali Prof Jay na Afande Sele ndo waliowaumiza vichwa majaji Nakumbuka nilikuwa na 18yrs mmoja wa GYM Master wetu na wenzake waliletewa T-Shirt za kwenda kugomea(security) ukumbini(Mabaunsa wa club) Nikataka kuwaambia wanipe na mimi ila hakukuwa na saizi yangu
Msuli wa mbu said: Sawa lakini Ndio maana hata kwenye u-king wa rhymz ulizua utata kwa baadhi ya ma-heavy emcee Kama solo thank wakati huo. Kwani we unadhani kati ya homa Dunia na darubini kali upi wimbo una content mkuu. Click to expand... Kwa kipindi kile ukitoa wimbo wa Prof Jay haukutokea wimbo mwingine wa kuushindanisha na Darubini Kali Prof Jay na Afande Sele ndo waliowaumiza vichwa majaji Nakumbuka nilikuwa na 18yrs mmoja wa GYM Master wetu na wenzake waliletewa T-Shirt za kwenda kugomea(security) ukumbini(Mabaunsa wa club) Nikataka kuwaambia wanipe na mimi ila hakukuwa na saizi yangu
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Jul 14, 2024 #22 Chillah said: Labda una weza kuchambua kazi ya sanaa na kutuelezea msanii Afande Sele amelenga nini katika kibao chake Darubini Kali Uchambuzi wako tafadhari...! Click to expand... Msuli wa mbu
Chillah said: Labda una weza kuchambua kazi ya sanaa na kutuelezea msanii Afande Sele amelenga nini katika kibao chake Darubini Kali Uchambuzi wako tafadhari...! Click to expand... Msuli wa mbu