Darubini Kali

Darubini Kali

Sawa lakini Ndio maana hata kwenye u-king wa rhymz ulizua utata kwa baadhi ya ma-heavy emcee Kama solo thank wakati huo.

Kwani we unadhani kati ya homa Dunia na darubini kali upi wimbo una content mkuu.
Kwa kipindi kile ukitoa wimbo wa Prof Jay haukutokea wimbo mwingine wa kuushindanisha na Darubini Kali

Prof Jay na Afande Sele ndo waliowaumiza vichwa majaji

Nakumbuka nilikuwa na 18yrs mmoja wa GYM Master wetu na wenzake waliletewa T-Shirt za kwenda kugomea(security) ukumbini(Mabaunsa wa club)

Nikataka kuwaambia wanipe na mimi ila hakukuwa na saizi yangu
 
Back
Top Bottom