Daruso udsm

Daruso udsm

scopio

Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
47
Reaction score
5
Uongozi wa wanafunzi chuo kikuu dar-es-salaam{ DARUSO} inawakumbusha wanafunzi wote wanaotarajia kujiunga na chuo hicho kwamba maelekezo yote kuhusiana na chuo yanapatikana ktk website ya chuo yaani www.udsm.ac.tz
 
scopio tunashukuru sana kwa michango yako ya bure..nimeingia na kudownload katiba ya chuo (by law) muda si mrefu..thanks
 
Last edited by a moderator:
Eti #DARUSO hivi yale ma.t-shirt ya UDSM yanapatikana wapi kipindi hiki cha likizo na kwa bei gani
 
Back
Top Bottom