Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Daeuweshi ndio MziziMkavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laiti sote tungeijua kazi aloifanya muhammad abdulwahhab naamini tungemkubali sana, tatizo sisi ni wavivu wa kutafuta ilmu na hata kwenda kusikiliza darsa kwa watu wa haki hatutaki tumekuwa watu wa kusambaza maneno ya propaganda na chuki dhidi ya watu wema.Wanamsakama muhammad abdulwahab pamoja na imam abdulaziz ibn saud hawa mujadid ..walifanya juhud kubwa kuusafsha uislamu na ushirikina hta wakapambana na Ottomans sabb w alikuwa n sufiya al kuburiya ........na shahada zao walizotamka hazikuwasaidia chochote .......
Kingne wanamtuhum kushirikiana na waingereza dhidi ya uislamu na huu n uongo
Tatzo watu wanaichanganya serikal ya sasa ya Saudis ambayo imepotoka na wanainasbisha na kizaz cha mwanzo cha ibn saud ambao walikuwa ktk dini na hawa wamepotoka
In sha Allah kuna haja ya kuandika kitabu kujibu shutuma zao
Nimecheka sanaKiswahili cha hapa bwana[emoji23]
Mkuu hicho kijiji kilikua kinaitwaje,na hiyo jela aliokua anashikiliwa ni ipi maana zote zina majina.mh!sisimizi akifanya tukio la ajabu kila mtu atajua eneo la tukio na jina lake.hizi ni story za kufikirika tu kama zile hadithi za vikapu vikarukaruka huku mawe yakiwa yanashangilia kwa furaha..Kwakweli mimi pia nimesikia mengi kuhusu huyo darwesh hasa viroja alivyofanya akiwa mikoa ya kusini, Kwamba aliwahi kuwekwa mahabusu lakini ikawa ikifika muda wa swala anatoka kimiujiza, anarudi tena mahabusu anaomba wamfungulie aingie tena mahabusu.
Pili, kwamba kuna kijiji walimdhihaki basi akawalaani ikaja mvua sio ya kawaida ikabadirisha mkondo wa mto maji yakapita katika hicho kijiji tena usiku wa manane na kuleta madhara makubwa ya vifo na kukifuta hicho kijiji katika uwepo wake.
Ni hayo pamoja na mengi tumesikia masimulizi ya mtu huyo, na kwamba mpaka sasa huyo bwana yupo dar es salaam.
Mkuu ongezea na Babu wa Loliondo{NO OFFENSE GUYS}Habari zenu waungwana nawasalimu sana,hoja yangu iliyonileta hapa leo ni kitu kinachonitatiza na chenyewe ni:miaka ya 80 na 90 kulikuwa kuna mzee mmoja maarufu sana nchini akifahamika kama darwesh[kuswali mnareke] ambaye mungu alimpa uwezo mkubwa sana,moja ya maajabu yake alikuwa anaweza kwenda Maka kwa dakika tu nyinyi mkitoka hapa na ndege mnamkuta kashafika na anawapokea na makarama mengine mengi sana mungu aliyomjaria,sasa nia yangu haswa ni kutaka kujua huyu mzee sasa hivi je yuko wapi? na kwa wale mliobahatika kuona maajabu yake mnaruhusiwa kufunguka,na kwa yeyote mwenye la kusema anakaribishwa ila tu nawaomba sana tuchangie kwa upendo na upole kwa maana si jambo zuri kusimanga wala kutukana dini ya mwenzako,dhumuni ni kuhifadhi histori,kwenu wadau...
Mama Shaban darwesh alikuwa mganga na full ninjaKuna mmoja alivuma miaka ya 90 kama mganga alikuwa akitibu ukimwi. Aliishi moshi maeneo ya dsm street jina lake kamili lilikuwa:shaaban darweshi .. Sijui ndo mwenyewe??
na wewe ukaamini kuwa anaenda makka kwa dakika? kweli akili ni kimiminika wengine zimevuja{NO OFFENSE GUYS}Habari zenu waungwana nawasalimu sana,hoja yangu iliyonileta hapa leo ni kitu kinachonitatiza na chenyewe ni:miaka ya 80 na 90 kulikuwa kuna mzee mmoja maarufu sana nchini akifahamika kama darwesh[kuswali mnareke] ambaye mungu alimpa uwezo mkubwa sana,moja ya maajabu yake alikuwa anaweza kwenda Maka kwa dakika tu nyinyi mkitoka hapa na ndege mnamkuta kashafika na anawapokea na makarama mengine mengi sana mungu aliyomjaria,sasa nia yangu haswa ni kutaka kujua huyu mzee sasa hivi je yuko wapi? na kwa wale mliobahatika kuona maajabu yake mnaruhusiwa kufunguka,na kwa yeyote mwenye la kusema anakaribishwa ila tu nawaomba sana tuchangie kwa upendo na upole kwa maana si jambo zuri kusimanga wala kutukana dini ya mwenzako,dhumuni ni kuhifadhi histori,kwenu wadau...
acha porojo wewe aliyeenda hijja Makkah hawezi andika uchafu huu acha unafikiNamfahamu vizuri huyo Darwesh kwa jina jengine Shekh rocket. Hana karama zozote ni maamuma wa mwisho. Safari zote as hijja anapata misaada kutoka kwa mashia. Nilikuwa nae hema moja Makkah 2015. Utashangaa matusi yanavyomtoka ktk kulingania. Dish lake limecheza.
[emoji23][emoji23][emoji23],kaka Dulla usipaniki,hiyo ndio maana yake,Darweshi kiarabu ni jumba tupu lisilo na jambo,na jina hili walikuwa wakijipa baadhi ya wasomi wa zamani wachamungu walioipa nyongo dunia,pamoja na kuwa na elimu kubwa na utukufu wao mbele ya jamii walikuwa wakihiita kuwa ni darweish yaani pangu pakavu,kwa unyenyekevu,badala yake ule upangu pakavu wa jina lenyewe ukaja kugeuka utukufu kwa sababu ya uhalisia wa utukufu ya wabebaji wake.wacha dharau dogo usidhanie hatujui maana fasaha ya daweshi ni 'mtakatifu' we wahabi nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona humu wamejazana madaruweshi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maendeleo hayana chama
Ma
Mama Shaban darwesh alikuwa mganga na full ninja
Mimi nimeishiwa Ms 85-99 nimesoma Mawenzi ps, Mawenzi sec then old Ms sec adv huyu mwanae mama darwesh nakumbuka tukiwa njuka alikuwa form 3 watata alikuwa anakuja shule na farasi au tractor ikivuta tela yake ilikuwa burudani ligi zake na walimu shuleni paleHahahah wewe utakua umeishi Moshi na umeaoma Muungano Primary hahahha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ebu tupe ukweli japo kidogo.Darweshi ni muunganiko wa maneno mawili ya Kiarabu.
Dar=nyumba
Wesh=tupu/empty.
Kwahiyo darweshi ni mwendawazimu anayetangaza dini fulan (dini yoyote).
Samahani kwa maneno haya.
Mimi mzee huyu namfahamu sana,aliheshimika sana miaka ya 90 huko kwetu Lindi na Mtwara.
Nikimwaga sana mengi kuhudu udarweish na Kuswali Nnaleke najua tachafua hali ya hewa humu.
Inavyoonekana wewe hauamini kwamba Mungu yupo,kama umeshindwa kuamini muujiza mdogo kama huona wewe ukaamini kuwa anaenda makka kwa dakika? kweli akili ni kimiminika wengine zimevuja
Sent using Jamii Forums mobile app