Evolutionary science failed to predict the future. Wanacho juwa wao ni historia na kuigeuza kuwa sayansi.
Lol! mbona unajichanganya sasa wapi nimekataa kuwa US Prez is black(mixed actually so he is as much white as he is black) or Secreatary of state is black? Huyo indian simjui but il take ur word for it.
Unachoshindwa kuona ni kua Darwin ndo aliweka mwanzo wa ushahidi kuwa watu wa race tofauti wako sawa. DNA (ambapo evolution ndo inatokea) testing inaonyesha kuwa wote tumetoka sehemu mmoja na tofauti zetu ni very minor, so we should all thank Darwin for setting the stage. Evolution unites us all, because we all came out of the primordial soup!!
Kama unataka kuona ubaguzi isome hiyo Biblia vizuri ambayo ndo ilitumika kujustify utumwa enzi hizo. Unakataa?
Darwin was a Racist I have already admitted, but a scientific theory stands without the man, unlike religion.
Darwin is more evil than Satan? Really? so he is more evil than Hitler? More evil than Stalin? Where do you get this stuff?
You don't have to take my word for it. You are Mr. Google, just google and see how your racist, darwin, theorems are in defacto.
Lete ushaidi kutoka Biblia unaosaidia maneno yako kuwa Biblia ilitumika kujustify ubaguzi.
Darwin, the racist was more evil than satan. How on earth can he call and/or say that all africans and Indians wana akili fupi.
Na wewe unafuata huyo punguwani anayekuita wewe mbumbumbu. Zaidi ya hapo, unamtetea na kukubali kuwa wewe ni mbumbumbu kiasi cha kutumia jina la racist darwin.
Biblia ilipowaita ninyi wafuasi wa wapenzi wa darwin FOOLS ipo sawa kabisa, kuwa wewe darwin ni FOOL.
To day, you have got it right.
Your darwin the racist, was the most wicked person ever.
Even Jesus, a product of his cultural upbringing, responds, I was sent only to the lost sheep of Israel (Matthew 15:24).
Max you dont know anything about bible, do you?
I am welcoming you to come this Sunday at 8th Avenue and 32 Street, New Yorker Hotel, 8th Floor, New York 10001, I will be there taking care of my Fathers Bsns.
Come at 11 AM. I think you need to learn some Bible.
I posted a thread 'TEN COMMANDMENT' at JUKWAA LA DINI, POST WHAT EVER QUESTION YOU HAVE IN RE OF THAT. I will give you exhibits. No blah blah like you guys. Only watertight verifiable exhibits.
You are most welcome to post your question. I hate mixing themes.
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Umeshindwa kutetea dini yako hapa online iwezekane nyumbani!!??
I will go no where! labda ukimbie wewe
Unakimbia. Huo ndio utamaduni wako. Swali langu hujajibu, nimekupa favor, unakimbia! Kaaazi kweli kweli.
Swali lako post kwenye Ten Commandments, lazima tueshimu mada, na sio kuchanganya mambo kama watoto wa mitaani.
1. Watu wa dini mnaamini mambo yote yalianzia kwa Moses."PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST"
I will go no where! labda ukimbie wewe
1. Watu wa dini mnaamini mambo yote yalianzia kwa Moses.
2.Kama mnavyosema ndie aliyepewa amri kumi za munayemuita mungu.
3.Akazitumia kwenye torah kama mnavyosema
4. Akaja munayemuita jesus, akaulizwa umekuja kubadilisha torah? akasema nimekuja kuikarabati. kwa maana hio aliendeleza alichoacha Moses.
5. Ushahidi wa BC
6. Alphabet zilizotumika katika kuandika kwenye lile jiwe zilikua bado hazipo kipindi cha uhai wa Moses [kama unajua ni kipindi gani Moses alizaliwa na kufariki]
7. Kutokana na kupingana nyakati za amri kumi za mungu na uhai wa aliyezipewa tunapata jibu kwamba kuwepo kwa Mungu ni hadithi zisizokua na ukweli.
8. Kupishana nyakati ndio kunakotupa ushahidi kwamba hata bible ni uongo pia, kwani torah kama mnavyosema ndio iliyotangulia ikaja bible.
Mwisho ni wewe sasa kunipa ushahidi kwamba munayemuita mungu yupo kama una ushahidi wowote
Why are you saying WATU WA DINI MNAAMINI? WHY USING PLURAL? WHO IS WATU?
I Need my exhibits.
You have failed once again to support your defacto belief that God does not exist.
Why i,m saying watu wa dini mnaamini!!
Well, watu wa dini including you!!!
watungaji wa bible
Watungaji sijui wa kurani.
Sie wakina Darwin ni watu wa sayansi na hatuamini mnavyoamini ndio maana natumia hio watu wa dini.
Hivi hata kitabu chako unakijua?
Once again MUNGU HAYUPO:
Kwasababu Moses ndio hapo NYIE WATU WA DINI MLIPOANZIA KUAMINI WAKATI DUNIA ILIKUWEPO KARNE KWA KARNE KABLA YA HUYO MNAYEMUITA MOSES HAJAZALIWA
Mwisho na mwisho kabisa, kwanini wewe unakwepa kunihakikishia unachoamini KWAMBA MUNGU YUPO?
Au husomi vitabu vyako vya hadithi?
Nikikuuliza huu ni mwaka gani, utaweza kunipa jibu wewe? Maana swali la Umungu limekushinda, labda tuanza na kujuwa huu ni mwaka gani, naona ninafanya mazungumzo na mtoto. Twende ngazi kwa ngazi.
What year is this, darwin?
Nikikuuliza huu ni mwaka gani, utaweza kunipa jibu wewe? Maana swali la Umungu limekushinda, labda tuanza na kujuwa huu ni mwaka gani, naona ninafanya mazungumzo na mtoto. Twende ngazi kwa ngazi.
What year is this, darwin?
Hahahaaaaaa
Mwaka 08 AC na hata uiite BC will not change the fact that, amri kumi za mnayemuita mungu alipewa Moses kwenye jiwe kwa afphabet ambazo wakati huo hazipo. Sawa nakusema Nyerere na Karume walichanganya udongo wa muungano mwaka 1980 wakati Karume alishakufa zamani. UNASEMA UNAJUA DINI LAKINI HATA HUJUI UHAI WA MOSES ALIISHI MIAKA GANI.?
Halafu kwanini unakwepa maswali yangu!??
Tuje kwa unayesema Darwin na ubaguzi.
Darwin alitumia au kufikiria ubaguzi kwa yeye binafsi
Je Hitler aliyeua watu nakusema anatimiza amri za munayemuita Mungu?
Au hata bible yako huijui.
Siamini bible kwavile iko totally fucked up lakini kama ningeifuata basi hata huyo mnayemuita Jesus alikua mbaguzi SOMA KITABU CHAKO VIZURI
KWA MARA YA MWISHO SIAMINI KWAMBA MUNGU YUPO BALI NI HADITHI TU, NATAKA WEWE UNIPE USHAHIDI KWAMBA MUNGU YUPO
Eti huu ni mwaka 08, na wewe imani yako inasema dunia hii ina miaka milioni kibao. Ni nani aliyechanganyikiwa, WHY IS 2008? and why using AC. or AD and/or BC.
Hiyo correction error ilianza kwa sababu gani.
you have failed to answer my question that 'prove god does not exist' i thought that is what you believe? Prove to me then god does not exist?
Kwa taarifa yako, hakuna atheist tokea dunia hii iiumbwe aliye weza kujibu hilo swali.
mbali yakukwepa maswali ninayokupa kuhusu moses na mwanzo wenu,
umeshindwa pia kutetea unachoamini.
nipe ushahidi kuhusu kuwepo mungu wako