Evolutionary science failed to predict the future. Wanacho juwa wao ni historia na kuigeuza kuwa sayansi.
Hahahaaaaaaa hivi kuna unalojua wewe?
Hadithi hadithi zisizokua na ukweli ndio mnaamini!!
Ndio maana Kitabu chenu cha hadithi kilisema dunia ni flat!!!!!!
Hivi bado mnaamini ile aya yenu ya kwamba dunia ni flat!?