DAS Busega aandika waraka Mwabukusi ashungulikiwe

DAS Busega aandika waraka Mwabukusi ashungulikiwe

DAS, RAS, DC, Ukurugenzi, ni position ambazo lazima uwe chawa mzuri wa CCM, uwe mjinga sana, wengi wao kama ana degree ni wale gentleman pass, akili ndogo Sana kula kwake kunatokana na kujikomba Kama zuzu.
Kama tungekuwa na rais mwenye maono, angeagiza wakaguzi waende kukagua matumizi wilayani kwake haraka sana kwani hii ni njia ya kujihami...
 
Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha ameandika waraka akitaka Wakili Boniface Mwabukusi ashughulikiwe.

View attachment 2725430
huyo DAS mpumbavu anatakiwa atueleze hicho chama kinachoitwa TLC ni chama cha wanasheria wa wapi hapa Tanganyika maana nijuavyo mim kuna TLS, hili ndio tatizo la kuteua MADAS kutoka kwenye makorido ya lumumba kisa huwa yanakoment jf wakati ni mambulula.
 
Picha ya DAS
Classmate wangu huyo ni huyo mwenye miwani
IMG-20230727-WA0139.jpg
 
Back
Top Bottom