HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
S400 imethibitishwa kuharibiwaInasubiriwa na S400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
S400 imethibitishwa kuharibiwaInasubiriwa na S400
Unajua Urusi inapigwa kila sikuHiyo ndege ikipelekwa Ukraine inapotea kabisa sokoni[emoji28]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wizi wa faida. Sio kama huu wa kwetuDrone ambazo waliiba tekmolojia kwa Muamerika baada ya kutungua ile drone iliyo kua ina fanya Surveillance Iran..
Nilijua wame kuja na kipya kumbe wanasubiri wamagharibi wa buni wao wafanye kuiba teknolojia kama michina
F-35 inaondoa maana ukiondoa stealth. Kila kitu kwenye fighter hiyo kinategemea stealth capabilities. Ina weapons integration ndogo kuliko Rafale sababu sio ndege ya kufanya kazi kubwa za mara kwa mara bali kazi ngumu na za uchache.
Uchambuzi murua kabisa, tatizo mahaba ya Upinde hua yanakuzidi mkuu, mi nashauri uwe neutral kabisa. Upinde mwachie yule mtu kutoka Kibera.F-35 inaondoa maana ukiondoa stealth. Kila kitu kwenye fighter hiyo kinategemea stealth capabilities. Ina weapons integration ndogo kuliko Rafale sababu sio ndege ya kufanya kazi kubwa za mara kwa mara bali kazi ngumu na za uchache.
Ina datalink & communication nzuri na electronic warfare nzuri, ina variant nzuri zaidi kwa aircraft carrier.
Rafale naiona nzuri zaidi ya Typhoon.
1. Rafale ina carrier based variant ambayo India wamenunua mwaka jana or juzi. Typhoon haina uwezo huo (moja ya sababu Ufaransa ilijitoa kwenye hiyo programu na kwenda yenyewe na Rafale)
2. Rafale ni system ya nchi moja, unahitaji kuwa na mahusiano mazuri na Ufaransa tu ili uinunue. Typhoon mpaka Ujerumani, Uingereza, Italy na Spain wakubali maana consortium inawahusu wote waliichangia. Kununua silaha ni geopolitics nyingi na kuna sintofahamu kubwa mbelen, Iran walinunua F-14 Tomcats hawapewi support tangu mapinduzi ya Shah, Ukraine wana Soviet weapons nyingi wanapata shida components ziko Russia, Russia wana melivita ambazo ziliundwa shipyards za Ukraine na wana powerplants za helicopter walikuwa wanachukua components Ukraine. Kuhusisha silaha yako kwa nchi nyingi ni hatari zaidi kuliko nchi moja.
3. Rafale naona ina performance nzuri na overall capabilities nzuri zaidi ingawa zinashindana vikali na Typhoon. Kwenye tender Rafale Iiko more likely kushinda kama vitu vingine viko constant.
Tatizo lake ni bei yake kubwa sababu mgawanyo wa cost of production ni kwa Ufaransa tu, ila Typhoon waligawana nchi nne. Hata MBT ya Ufaransa ile Lecrerc ni bei ghali sana kuliko vifaru vyote vya NATO ila haimaanishi ndio kina uwezo mkubwa kuzidi vingine.
Huko mbali sana pantisir na buku zinajitosheleza Kwa hako kadude zikiwhirikiana na s300,350Inasubiriwa na S400
Unatumia kigezo gan kusema hayo ? Watu weusi tumeitwa majina ya ajab sabab ya upeo kama huu , yaan mtu akigundua kiongoz wa nchi ni mbovu anapindua nchi anaanza mkandia mwenzie kuwa alikuwa kibaraka ila yeye anakuja kuwa kibaraka pia , huyo kamanda kama anaipenda nchi yake anajua mfumo wa utawala ulivyo , cheo cha ukuu wa nchi ni cha kisiasa/kiraia sio kijeshi , baada ya miaka 15 tulivyo mbumbuuu tutarudi kumlalamikia huyo jamaa(mwanajeshi) kuwa ni kibaraka wa wazungu TUAMKE , UBORA WA MTU USITOKANE NA ALIYEMPINDUA BALI ANAYOYAFANYA AU ATAKAYO YAFANYA MAANA TUMEONA WENGI WAKIONGEA MENG MAZURI ILA MATENDO HAYAFANANI NA KAULI ZAONiger inalinda rasilimali zake ili ziwafaidishe raia wake.
Tanzania hii haina uhusiano na ufaransa nitakushangaa sana.Hatuna mahusiano nao
Hawawezi tuuzia
Hivi unakijua hata ulichokiandika?Unatumia kigezo gan kusema hayo ? Watu weusi tumeitwa majina ya ajab sabab ya upeo kama huu , yaan mtu akigundua kiongoz wa nchi ni mbovu anapindua nchi anaanza mkandia mwenzie kuwa alikuwa kibaraka ila yeye anakuja kuwa kibaraka pia , huyo kamanda kama anaipenda nchi yake anajua mfumo wa utawala ulivyo , cheo cha ukuu wa nchi ni cha kisiasa/kiraia sio kijeshi , baada ya miaka 15 tulivyo mbumbuuu tutarudi kumlalamikia huyo jamaa(mwanajeshi) kuwa ni kibaraka wa wazungu TUAMKE , UBORA WA MTU USITOKANE NA ALIYEMPINDUA BALI ANAYOYAFANYA AU ATAKAYO YAFANYA MAANA TUMEONA WENGI WAKIONGEA MENG MAZURI ILA MATENDO HAYAFANANI NA KAULI ZAO
Ingekuwa ni Rafale vs Su-30 au Su-35 nikasema Rafale ndio bora ungesema ni mahaba. Yanakuwa ni mahaba pale unapoambiwa kile usichopendaUchambuzi murua kabisa, tatizo mahaba ya Upinde hua yanakuzidi mkuu, mi nashauri uwe neutral kabisa. Upinde mwachie yule mtu kutoka Kibera.
Na Ukraine inapigwa kila dakika[emoji4]Unajua Urusi inapigwa kila siku
Kwahyo kabla ya kutungua ile drone hawakuwa na drone?Drone ambazo waliiba tekmolojia kwa Muamerika baada ya kutungua ile drone iliyo kua ina fanya Surveillance Iran..
Nilijua wame kuja na kipya kumbe wanasubiri wamagharibi wa buni wao wafanye kuiba teknolojia kama michina
Wewe mbona pamoja na kwamba una muda mrefu umekuwa ukitumia vijiti vya kuchokolea meno kutoka china hujawahi kutengeneza vyako na bado unanunua kutoka China unapata wapi ujasiri wa kuisema nchi iliyoweza kuidungua drone ya adui tena iliyotaka kuhatarisha usalama kaichukua kakopi (sijui kama kweli) bado anaitumia kumtwanga adui na anafanikiwa sasa unataka Irani akupe nini?Drone ambazo waliiba tekmolojia kwa Muamerika baada ya kutungua ile drone iliyo kua ina fanya Surveillance Iran..
Nilijua wame kuja na kipya kumbe wanasubiri wamagharibi wa buni wao wafanye kuiba teknolojia kama michina
Hivi ulitarajia meli 2 kupigwa ndani ya siku 2
Hizi zimeshindwa kuilinda Crimea. Urusi ndege zake hazubutu kuziingiza Ukraine ila anashambulia kutoka kwake (Urusi) au kupitia Belarus.Inasubiriwa na S400
AahaaaaaMkuu mbona umeusemea moyo wangu😁😁😁
Sisi hatuigi.Tunauza tulichonacho.Kimfaacho mtu chake.Nyie mliiga kipi ambacho mmekitengeneza kwenu zaidi ya kuagiza kila siku hadi stik za meno kiazi wewe
Acha bana kwa iyo alligator inayochakaza front line inachakaza ikiwa urusi.?Hizi zimeshindwa kuilinda Crimea. Urusi ndege zake hazubutu kuziingiza Ukraine ila anashambulia kutoka kwake (Urusi) au kupitia Belarus.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Punguza ujuajiAcha bana kwa iyo alligator inayochakaza front line inachakaza ikiwa urusi.?
Afu kuna dog fight kaza zimetokea Kati ya Urusi na ukraine zimetokea kwenye ardhi ya Urusi.??
Ndege za Urusi zinaingia popote kwenye anga la ukraine ila inategemea na mpango kazi wa siku husika.Vita ni mipango na technics buewezi kwenda kichwa kichwa.
Mara zote njia inayokupa faida kubwa na hasara kidogo kwenye uwanaja wa vita hiyo ndio njia bora.
Urusi sio ukraine wanaao songa mbele tu utafikiri wavietnum, wanauliwa wote wengine wanakuja njia ileilei technique ile ile.
Nadhani ndio maana zelesky aliidhinisha matumiza ya bangi na madawa mengine ya kulevya kwa wanajeshi wake.