Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Wakubwa nilikuwa naomba kwa anaejuwa kati ya data science na fullstack web develpmnt. Ni ipi inasoko sana kwa tanzania na hata nje pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navip kihusu machine learning?Fullstack developer, hii ukiijua vzr utapata fursa kibao za ajira..
Programming, database admin, system developer...huwa zipo fursa kibao ila mpk uijue sasa.
Alafu kibongo bongo, nafas za data analyst huwa chache, kwahiyo wengi wanaitwa kama database administrator ambayo ww utakuwa umei master kweny development zako
Mkuu naona unataja tu...wewe interest yako ni nini.? Maana mambo si rahisi,Navip kihusu machine learning?
Mkuu samahani kwa maswali nayo kuuliza! Na wish nijuwe kwanza market zake then nimake decision,Mkuu naona unataja tu...wewe interest yako ni nini.? Maana mambo si rahisi,
Mkuu market ni nzuri sana, shida ni kujua hayo mambo inabidi uwe na interest nayo...sababu itakubid usome sana nje ya kile unachofundishwa...kuwa programmer tu mkuuMkuu samahani kwa maswali nayo kuuliza! Na wish nijuwe kwanza market zake then nimake decision,
Nashukuru sana mkuuMkuu market ni nzuri sana, shida ni kujua hayo mambo inabidi uwe na interest nayo...sababu itakubid usome sana nje ya kile unachofundishwa...kuwa programmer tu mkuu