Dati: Msanii mwenye asili ya Tanzania anayefanya mziki nchini Sweden

Dati: Msanii mwenye asili ya Tanzania anayefanya mziki nchini Sweden

Ben ashaishi Stockholm we lofa, mtangazaji mwanamuziki na unamfahamu.
We nani anakujua hapo mjini?


My bad, Stockholm ya Kino may be. By the way humu ni Anony, lakini hapo kati nikikatiza kila mtaa watu wananipa HI with muximum respect.

Kwanza huyo Kinyaiya ni mwanamuziki wa Bendi gani au kaimba wimbo gani?
 
Back
Top Bottom